Tulikubaliana nianze ile kulee!!Ngoja akuje mdogo wako mpenzi
Kwenye maredioKhaaaa mimi namjulia wapi
Kule kwa mapopo!!Mlikuwa wapi tena jamani
HahahaHivi kweli we wa kunifanyia hivi mm na kunipa macode magumu si ukuje uniambie tu huyo labda Antonio Nugaz au Gadner G
Iceman 3D njoo unipe ruhusa mdogo wangu anataka akuone tuuSipendi ndio jamani ila huwa napenda tu kwaangalia
Vumilia kidogo tuu loveJamani iceman ukuje tu
HahahaKwa mapopo tena anafanyaje haujamfukuza
Namuonea huruma rosemary
Bokasa bokasa ufwe huko safarini walah
Aki sio ngumu
Nimefika episode ya 11. Wacha nipumzikee!! Thanks dear
HahahahIceman 3D njoo unipe ruhusa mdogo wangu anataka akuone tuu