Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,721
- 167,747
Niliwahi kusoma utafiti mmoja kuwa wanawake ndio wanaoongoza kwenda kwa waganga wa kienyeji
Sijui ni kwanini hapa ndio wa kwanza kuikemea hii makitu ....!!!!!!
Yaani hapo umedhihirisha ni jinsi gani ulivyo Maharage ya Mbeya a.k.a Chupi mkononi.
Siku ya tatu tu ukamzawadia tundaaa...!
Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya dhahabu, cheni kubwa ya dhahabu na pete nzito. Alipoingia tu mgahawa mzima ukajaa harufu ya Issey Miyake, nzuriii.
Akatembea taratibu na kuja kwenye meza niliyokuwa nimekaa, akaomba akae nami nami nikamkaribisha.
Nilipomaliza kula akaniomba ninywe japo glass ya wine ili tuweze kuongea kidogo na kufahamiana.
Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba za simu na kuagana.
ijumaa mchana tukakutana tena kwa ajili ya lunch, tukawa marafiki wazoefu, kucheka, kugonga na utani kiasi, tukakubaliana jumamosi tutoke usiku kwa ajili ya candle light dinner.
Dinner ilikuwa nzuri sana na ilisindikizwa na muziki mwororo, it was so good really, baada ya dinner tukaanza kupata ndovu (huwa sina muda wa ku fake na savanna au Heineken, mi yangu ni ndovu tu) Usiku mzito, akili zimeongezeka, tukaona ni muda muafaka kwenda kupumzika.
Katikati ya mchezo nikaanza kuhisi kuna kitu kinanikwaruzakwaruza, baada ya chezo kwisha tukalala kama wafu, nilipoamka nikakuta jamaa kalala ile mbaya, kiunoni ana hirizi halafu una bag kubwa kuliko kufuli la geti. Nilikasirikaje? Alipoamka nikamuuliza hii ni ya nini? Eti inamlinda yeye na mali zake. Nikamuuliza aliyekupa yeye ana mali nyingi kiasi gani?
Akasema hana mali, lakini anaiamini sana.
Kuanzia siku hiyo sitaki hata kumuona, asije akanitoa kafara mtoto wa watu kwa ajili ya uchu wake wa utajiri.
Nazjaz umeandika thread ili nikuone eeeh! Haya nimekuona.Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya dhahabu, cheni kubwa ya dhahabu na pete nzito. Alipoingia tu mgahawa mzima ukajaa harufu ya Issey Miyake, nzuriii.
Akatembea taratibu na kuja kwenye meza niliyokuwa nimekaa, akaomba akae nami nami nikamkaribisha.
Nilipomaliza kula akaniomba ninywe japo glass ya wine ili tuweze kuongea kidogo na kufahamiana.
Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba za simu na kuagana.
ijumaa mchana tukakutana tena kwa ajili ya lunch, tukawa marafiki wazoefu, kucheka, kugonga na utani kiasi, tukakubaliana jumamosi tutoke usiku kwa ajili ya candle light dinner.
Dinner ilikuwa nzuri sana na ilisindikizwa na muziki mwororo, it was so good really, baada ya dinner tukaanza kupata ndovu (huwa sina muda wa ku fake na savanna au Heineken, mi yangu ni ndovu tu) Usiku mzito, akili zimeongezeka, tukaona ni muda muafaka kwenda kupumzika.
Katikati ya mchezo nikaanza kuhisi kuna kitu kinanikwaruzakwaruza, baada ya chezo kwisha tukalala kama wafu, nilipoamka nikakuta jamaa kalala ile mbaya, kiunoni ana hirizi halafu una bag kubwa kuliko kufuli la geti. Nilikasirikaje? Alipoamka nikamuuliza hii ni ya nini? Eti inamlinda yeye na mali zake. Nikamuuliza aliyekupa yeye ana mali nyingi kiasi gani?
Akasema hana mali, lakini anaiamini sana.
Kuanzia siku hiyo sitaki hata kumuona, asije akanitoa kafara mtoto wa watu kwa ajili ya uchu wake wa utajiri.
Wengine vunga tu hapa asiependa kutomb.ana nani? Kwa raha zako....Kwa raha zangu
Kwa raha zangu
kwani hao wanawake wana duu na nani?
kila mtu na starehe yake bhana, mambo ya kujibanabana ya nini? Sijakeketwa mimi, nahitaji kukunwa
weeee thubutuuuu! Niku Pm mtu mwenyewe dk 3 umevua chupi
Ulitaka amzawadie siku ya ngapi ? Nyie ndio mmekariri mtu kufukuzia demu miezi mitatu utadhani bado tuko enzi za ujima...! Nini siku ya tatu, watu wanafahamiana muda wa lunch, wanabadilshana namba za simu, jioni baada ya kazi kinywaji kidogo, kisha mnakwenda kupiga gemu safii kabisa. Na maisha yanaendelea!
Nyie ma-jentlomeni mnaodhani demu akikupa tunda mapema ni maharage ya Mbeya bado mnaishi karne ya 18
mkonowapaka, the only expensive lady under the sun is your own mom, by any how you can not afford to sleep with herso your this cheap Nazjaz
hapa ni wanafiki tu ,,,,,,,,,,,,
kwani inakuchukua muda gani?
hakuna asiyependa kuto.mba au kuto.mbwa
hayo mambo mtu unanyege zako , halafu unabanabana ili uonekane mgumu yameshapitwa na wakati ,,,,,,,,, pambafu
kabisa.........huo ni ushamba tu.
Well said Masaki. Kuna mijitu wala haijui ladha ya one night stand
One-night stand - Wikipedia, the free encyclopedia
Uuuuuwiiiii heheehee!!!umenichekeshaa balaa hutaki kukubaliwaa haraka harakaa
Kwa raha zangu