Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya dhahabu, cheni kubwa ya dhahabu na pete nzito. Alipoingia tu mgahawa mzima ukajaa harufu ya Issey Miyake, nzuriii.
Akatembea taratibu na kuja kwenye meza niliyokuwa nimekaa, akaomba akae nami nami nikamkaribisha.
Nilipomaliza kula akaniomba ninywe japo glass ya wine ili tuweze kuongea kidogo na kufahamiana.
Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba za simu na kuagana.
ijumaa mchana tukakutana tena kwa ajili ya lunch, tukawa marafiki wazoefu, kucheka, kugonga na utani kiasi, tukakubaliana jumamosi tutoke usiku kwa ajili ya candle light dinner.
Aaa,sasa si bora uendelee utafunwa naye kwasababu kama mtu wa kukutoa kafara ameshakutoa kwakuwa kipande cha mwili wako ameondoka nacho.je unaijua hiyo kuwa mwili wako umeugawa sehemu yako anatembea nayo popote aendapo nawe upo?