Dulla makabila ameanza kuhofia Udiwani wa Haji Manara kata ya Kariakoo

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Baada ya Haji Manara kutangaza nia ya kutaka kuwa Diwani Kariakoo na kuchukua Fomu kupitia chama cha Mapinduzi CCM

Dulla Makabila, amemua kutoa ya moyoni kuhusu maamuzi hayo ya Haji Manara

“Kama pale tu ulikuwa hauna mamlaka yeyote na ukaninyoosha ndugu yangu safari hii ntasikia tu dullamakabila tafuta kituo chochote kilichopo karibu na wewe 😂😂😂😂

Kila lakheri kaka angu hajismanara kariakoo inakwemda kupata maendeleo kupitia kiongozi mwenye weredi mkubwa kupitia chama cha mapinduzi CCM na uzuri nna studio nyumbani kwangu acha nianze kukuandalia nyimbo zako za kampeni mapema sitaki ugomvi na viongozi.
 
Jamaa wanatania sana anyway ni nzuri maana kula tundu Moja haimaanishi mchukiane
Manara ukipata udiwani mfilisi dula
 
Hivi hawa wasanii njaa huwa vichwa vyao vina akili kweli?
Wanajua hata majukumu ya diwani?
 
Baada ya Haji Manara kutangaza nia ya kutaka kuwa Diwani Kariakoo na kuchukua Fomu kupitia chama cha Mapinduzi CCM

Dulla Makabila, amemua kutoa ya moyoni kuhusu maamuzi hayo ya Haji Manara

“Kama pale tu ulikuwa hauna mamlaka yeyote na ukaninyoosha ndugu yangu safari hii ntasikia tu dullamakabila tafuta kituo chochote kilichopo karibu na wewe 😂😂😂😂

Kila lakheri kaka angu hajismanara kariakoo inakwemda kupata maendeleo kupitia kiongozi mwenye weredi mkubwa kupitia chama cha mapinduzi CCM na uzuri nna studio nyumbani kwangu acha nianze kukuandalia nyimbo zako za kampeni mapema sitaki ugomvi na viongozi.

Mkewe si Manara alishamwacha? He needs to Man up and stop being a full
 
Dullah sio wa kumuamini hapo anategesha mitego yake Bugatti akipata udiwani atatungiwa wimbo na akikoso pia utabadilishwa mashairi
 
Hii nayo imetoka! Aaah Manara maarufu, sijui hivi sijui vile! Ona hata wenzake huko CCM wamemwaga!
IMG-20250708-WA0016.jpg
 
Back
Top Bottom