Dula mjukuuu wa ambua da' chanel 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dula mjukuuu wa ambua da' chanel 5

Discussion in 'Celebrities Forum' started by THEO LYIMO, Mar 21, 2012.

 1. T

  THEO LYIMO Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wacha niseme wana kwa hili kwani huyu jaammaaa ni bonge l amtangazaji hata salama jabir akirudi pale pb hamuwezi na angepewa na hnl tuachane na yle tozi anashobokea wasichana na hata swaga hana dula ndo kwikwi au mnasemaje

  dula huchoki kumsikiliza wana

  jembe jipangeee
   
 2. kau

  kau Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kweli ni bonge la mtangazaji lakini usimfananishe na Salama jabir..........
   
 3. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 3,987
  Likes Received: 9,237
  Trophy Points: 280
  Mimi huwa natofautiana nae kwa jinsi anavyobana pua tu.
  Huwa anibariki.
   
 4. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  anapenda sana ushkaji na wakali wenye miunekano!!!
   
 5. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 4,659
  Likes Received: 1,500
  Trophy Points: 280
  Anapretend saut,yle bwge.
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Dula ndiye nani? ABDALLAH MAJURA au? ABDALLAH MWAIPAYA?
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,148
  Likes Received: 7,118
  Trophy Points: 280
  Huku waachie wenyewe wauza sura na wapaka poda,....hutakaa uwaelewe wanachojadili hapa wanadhani watu wote humu wapo Tandale na Temeke na hawajui JF ni world wide.
   
 8. m

  mankind Senior Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 185
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  ww kwani watu wa tandale na tandika wana kitu gani
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,148
  Likes Received: 7,118
  Trophy Points: 280
  Idiot person,..... am oversize to you, don't even think to start a war with me i will complete destroy you & if u don't believe it try again to talk rubbish then u will see what is next, don't say i didn't warn you!
   
 10. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,524
  Likes Received: 1,231
  Trophy Points: 280
  Mbana pua yule hana lolote.. Voice pretender
   
 11. Karucee

  Karucee JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 10,425
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  nyoooooo.
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,148
  Likes Received: 7,118
  Trophy Points: 280
  Fyeuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
   
 13. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,125
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Mkuu matola pamoja na kuwa mankind amekosea sana kukutusi lakini wewe pia ulikosea sana kuwa undervalue watu wa Tandale na Temeke mkuu! ndio wanaweza kuwa ni makabwela lakini usifikiri ukabwela wao unawafanya wasiwe weledi wa mambo!
   
 14. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,085
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  haya makali ya maisha yatatupeleka mbali kwa kweli!
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,148
  Likes Received: 7,118
  Trophy Points: 280
  What i mean sio kukashifu,.....maana yangu ilikuwa kwamba JF inatumiwa na watu ambao wako nchi mbalimbali hapa duniani Hiyo Tandale na Temeke its just a sample tu na wengine wana zaidi ya miaka 10 hawajawahi kurudi Bongo, kuna mtindo humu umezuka hasa kwa hawa vijana wa under 25 wapoleta thread huwa wanadhani ni story ya washkaji mnaokaa mtaa mmoja ndio mnashare hiyo story, lakini ukianza kuiandaa story yako vizuri na ukaileta hapa hata asiyewajuwa hao wahusika lakini anapata content ya hiyo story ulikusudia kuleta habari gani then wote tunashare na kucoment.
  Wakati mwingine lugha kali ndiyo njia sahihi za kuwafundisha watu kwa vitendo.
   
 16. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,687
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Dula mbana pua tu,sharo bang! Anacopy stail ya adamu mchomvu na b12,hana ubunifu. Kwanza enzi za salama kipindi cha salama kipindi kilikuwa na mvuto sana,inshot dogo kaharibu kipindi.ni hayo tu.
   
 17. Karucee

  Karucee JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 10,425
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  umenichekesha. I didnt expect.
   
 18. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 2,788
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ungekuwa specific sio unatuwekea sentensi tata!
  huo ni ufinyu wa fikra na kutafakari!mwerevu hatukani,..jifunze jipange
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,148
  Likes Received: 7,118
  Trophy Points: 280
  Sentensi tata inakuja kwenye thread tata!!.... wewe ndio finyu, jifunze jipange tena siku nyingine.
   
 20. bigboi

  bigboi JF-Expert Member

  #20
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 269
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  yaani hujakosea kabisa copy cat ya adamu mchovu nashindwa kuwaelewa kabisa wanashindwa vp ku talk normal hivi akiwa mbele ya mengi anaongea vile au anatangaza biashara
   
Loading...