kzba JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 1,355 Reaction score 793 Aug 7, 2017 #1 Kwa anaefahamu wadau anijuze nahitaji hyo kitu Pia naomba kufahamishwa kuwa nitajuaje hzo wallpaper ni original Asanten. Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa anaefahamu wadau anijuze nahitaji hyo kitu Pia naomba kufahamishwa kuwa nitajuaje hzo wallpaper ni original Asanten. Sent using Jamii Forums mobile app
Hplary Member Joined Mar 31, 2017 Posts 67 Reaction score 56 Aug 7, 2017 #2 Kama unahitaji sema tufanye biashala ya kukutumia nawasilisha wazo tu mkuu..
KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,249 Reaction score 5,962 Aug 8, 2017 #3 Hplary said: Kama unahitaji sema tufanye biashala ya kukutumia nawasilisha wazo tu mkuu.. Click to expand... Kama unazo tunaomba utuwekee pics zake watu watavutiwa zaidi mwisho wa siku biashara itafanyika mkuu. Nawasilisha.
Hplary said: Kama unahitaji sema tufanye biashala ya kukutumia nawasilisha wazo tu mkuu.. Click to expand... Kama unazo tunaomba utuwekee pics zake watu watavutiwa zaidi mwisho wa siku biashara itafanyika mkuu. Nawasilisha.
S SAW_111 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2017 Posts 210 Reaction score 249 Sep 25, 2017 #4 Hplary said: Kama unahitaji sema tufanye biashala ya kukutumia nawasilisha wazo tu mkuu.. Click to expand... Ni kiasi gani mkuu unauza na ni kwa ukubwa gani
Hplary said: Kama unahitaji sema tufanye biashala ya kukutumia nawasilisha wazo tu mkuu.. Click to expand... Ni kiasi gani mkuu unauza na ni kwa ukubwa gani