Habari wadau!
Duka linauzwa liko Mwanza, wilaya ya Ilemela-Buswelu, mtaa wa Buhilya. Ni duka la kawaida la bidhaa za rejareja, liko site nzuri kiasi kwani wastani wa mauzo kwa siku ni laki 2 hadi laki 3. Sababu za kuliuza Ni Kwamba Limekosa Msimamizi Mwaminifu hali Iliyopelekea Duka Kuporomoka Kwa Kasi Hali Iliyonifanya Kulifunga Kwa Muda.
Aidha Kodi Ya Frem Ni 30,000 Kwa Mwezi Na Kwamba Kodi Iliyolipwa Ni Hadi Mwezi Wa PIli Tar 7 2016, mwenye frem anachukua kodi kwa kipindi cha miezi sita na mwaka moja, hata hivyo ninavyomfahamu anaweza kukubali malipo ya miezi mitatu mitatu, mimi nilikuwa namlipa kwa kipindi cha miezi sita sita,aidha thamani yake kwa sasa ni milioni 2.4 ILA NALIUZA KWA SH 1,400,000 (MILIONI 1.4) NI SITE NZURI SANA PIA KWA M PESA kwa mawasiliano ni pm, naomba kuwasilisha!