Duka linalouza capacitor Dar

torrent

Member
May 14, 2016
13
2
Msaada: naomba kujuzwa Duka linalouza vifaa kama Capacitors, diode na Chips zinenginezo, hapa dar es salaam.
 
K.koo ilipokua round about ya zaman ilo jengo la upande wa kushoto kutokea uhuru anzia wanapouza remote za tv mpaka stand ya magari ya mbagala kuna maduka rundo apo
 
Msaada: naomba kujuzwa Duka linalouza vifaa kama Capacitors, diode na Chips zinenginezo, hapa dar es salaam.

Sema tu unataka kutuambia na wewe umejifunza kuhuhu diodes na sasa unataka kuanza kutukebehi, na sidhani hata kama umeelewa hata ulichofundishwa sasa duka la kuuza chips ndiyo nini? Sijawahi kusikia mimi kwamba Dunia hii kuna duka linauza chips!
 
Sorry mzee kwa nia nzuri tu, zipo chips za electronics sio hizo za viazi unazozielewa, au kwa upana microchips kama IC 's
 
Ndiyo hizo hizo micro chips ninazomaanisha, sijawahi kusikia kwamba kuna duka linauza micro chips Dunia hii!
 
Microchips ndizo hizo mara nyingi mnaziita IC (Intergrated Circuits) za amplifier, Radio, na vifaa vyoote yva electronics
 
Sema tu unataka kutuambia na wewe umejifunza kuhuhu diodes na sasa unataka kuanza kutukebehi, na sidhani hata kama umeelewa hata ulichofundishwa sasa duka la kuuza chips ndiyo nini? Sijawahi kusikia mimi kwamba Dunia hii kuna duka linauza chips!

Ndiyo hizo hizo micro chips ninazomaanisha, sijawahi kusikia kwamba kuna duka linauza micro chips Dunia hii!
Acha upumbavu wa ubishi wa kitoto. Kama kuna kitu unakijua toa maelezo mazuri usilete kejeli, mbona wengine wamejibu vizuri.
 
Ndiyo hizo hizo micro chips ninazomaanisha, sijawahi kusikia kwamba kuna duka linauza micro chips Dunia hii!

Bwana Barbarosa hujasoma engineering inavyoonesha maana una ubishi wa kijinga sana....waliosoma electronics tukikusikia tunajisikia vibaya sana
 
Msaada: naomba kujuzwa Duka linalouza vifaa kama Capacitors, diode na Chips zinenginezo, hapa dar es salaam.

Mkuu jaribu KVD pale karibu na Bilicanas...kwa uhakika zaidi mkuu nunua online tu....madukani kibongo bongo huwezi pata exactly utakazopenda kwa ajili ya project yako....online ndio mwisho wa matatizo,unanunua vinakuja kwa dhl fasta tu mzee
 
Mkuu wewe ni msumbufu na unatafuta sifa za kijinga sana....post zako za ubishi hapo juu ni pure ignorance

Hayo ni yako, na wala sijakulazimisha usome mada zangu na kuzijibu, JF ina watu kibao lkn wanaozisoma na kujibu mada zangu ni wachache sana wengi wao huzipotezea tu na siwalamu hivyo nakushangaa wewe unayetumia muda wako kusoma na kujibu mada zangu wakati zinakusumbua, kwa nini usizipotezee tu kama wengine wafanyavyo?
 
Una hormones za kike...I rest my case!
 
Una hormones za kike...I rest my case!

Mungu wangu nitafanyaje sasa? Maisha yangu yote kwisha, leo siwezi kula, kulala wala kupumua kwa sababu Binadamu X wa JF nisiyemjua wala asiyenijua kaniambia nina hormone za kike, tafadhali nakuomba Binadamu X tengua usemi wako kwa maana bila ya wewe sitaweza kuishi ...
 
Sema tu unataka kutuambia na wewe umejifunza kuhuhu diodes na sasa unataka kuanza kutukebehi, na sidhani hata kama umeelewa hata ulichofundishwa sasa duka la kuuza chips ndiyo nini? Sijawahi kusikia mimi kwamba Dunia hii kuna duka linauza chips!
ndugu haupo sahihi hata kidogo. chip zinauzwa ( chips in plural) ndio maana vifaa vya electronics vinarekebishwa na mafundi.

hizi hapa ni list ya baadhi ya IC zinazopatikana madukani

D2030/D2050/ D2013/D2014 /LA 4440 kwaajili ya audio amplifier.

LA78040N / STV 8172A kwaajili ya vertical ref. ya TV za CRT

na nyingine kibao
Ndiyo hizo hizo micro chips ninazomaanisha, sijawahi kusikia kwamba kuna duka linauza micro chips Dunia hii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom