Duka la vipodozi linauzwa

nyambogo

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
283
111
Wasalaam,
Waungwana ninauza duka la vipodozi kwa bei ya jumla, duka lipo eneo zuri kibiashara na huhitaji kuongeza chochote.

Duka lipo TABATA-Kinyerezi njia panda ya Tabata Kinyerezi na majumba sita na linatazama barabarani, na nitatoa discount ya 5% kwa mzigo wote uliomo dukani na samani zake. Ninaliuza kwa kuwa natarajia kuwa masomoni ughaibuni nitashindwa kulihudumia.

Anayehitaji tafadhali anaweza kuja PM tukazungumza.
 
Thamani laweza kurange 5-6 Mil na lipo Tabata Kinyerezi njia panda(MBUYUNI)

Mbuyuni upande wa kuangalia barabara ya lami au unaingia ndani kidogo, ni karibu na kwa makadala au huku gereji
 
Wasalaam,
Waungwana ninauza duka la vipodozi kwa bei ya jumla, duka lipo eneo zuri kibiashara na huhitaji kuongeza chochote.

Duka lipo TABATA-Kinyerezi njia panda ya Tabata Kinyerezi na majumba sita na linatazama barabarani, na nitatoa discount ya 5% kwa mzigo wote uliomo dukani na samani zake. Ninaliuza kwa kuwa natarajia kuwa masomoni ughaibuni nitashindwa kulihudumia.

Anayehitaji tafadhali anaweza kuja PM tukazungumza
 
Is it a criminal to mention selling price?
 
Ndugu
Ninauza vipodozi mchanganyiko vyenye thamani ya milioni 4,800,000/=TZS na vinauzwa kwa bei ya Kariakoo (BEI YA JUMLA),Na pia vina discount ya laki 500,000/=TZS .

Kwa atakaevichukua vyote na nimeshindwa endelea na hiyo biashara maana nipo katika mchakato wa kwenda mahali kimasomo.

Alie tayari anitafute PM twaweza hata ona namna ya ku-negotiate kuhusu discount zaidi kwa aliye tayari kuchukua mzigo na hata aliye tayari kuchukua nusu ya mzigo awe wazi tutazungumza na atapewa discount pia. Mzigo upoTabata Kinyerezi(Dar es Salaam) lilipo duka.

Nimeambatanisha na aina zote za vipodozi vilivyopo.Wasalaam
 
Attachments

  • VIPODOZI.docx
    34.5 KB · Views: 69
Wasalaaaam,

Vipodozi vinauzwa kwa bei ya jumla na kwa kila milioni moja utakayonunua una discount ya laki moja, na mzigo wote unathamani ya milioni 5, kama upo tayari kuchukua mzigo wote discount utapewa ya laki 6. Na kwa wanaohitaji usisite kunicheki INBOX
 
Attachments

  • VIPODOZI.docx
    34.5 KB · Views: 153

Similar Discussions

Back
Top Bottom