prince Albert
Member
- Jun 6, 2016
- 42
- 9
Well packed?
Ulipata mteja mkuu?Wasalaam,
Waungwana ninauza duka la vipodozi kwa bei ya jumla, duka lipo eneo zuri kibiashara na huhitaji kuongeza chochote.
Duka lipo TABATA-Kinyerezi njia panda ya Tabata Kinyerezi na majumba sita na linatazama barabarani, na nitatoa discount ya 5% kwa mzigo wote uliomo dukani na samani zake. Ninaliuza kwa kuwa natarajia kuwa masomoni ughaibuni nitashindwa kulihudumia.
Anayehitaji tafadhali anaweza kuja PM tukazungumza.