Duka la vinywaji

kanewi

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
298
199
Wakuu habari,,nataka kufungua duka la vinywaji hasa vileo kwa bei ya rejareja maeneo ya Tabata ila bei zangu nataka ziwe za chini kama kwenye super markets vile,,kama Wine, Whisky, Beer shampagne na soft drinks zingine,,,naomba kujua jinsi na wapi napata super supplier's wa hivi
1) Beer za safari, Serengeti, castle lite na laga,na zingine za chupa na kopo take away
2) wine na whiskey
3)soda za Pepsi na koka kola za take away
4) juice zote za box na chupa

Nashukuru nikijibiwa kwa kupatiwa direction za eneo au namba za simu
 
Coca cola ulizia distributor aliveko karibu nawe wanakuletea Hadi dukani kwako the same 2 Pepsi Wana magari yao yanasambaza muhimu uwe na makreti ma2pi ya kubadlishia na kwa take away za jamii hzo utapata kwao
 
nenda manzese mkuu....kila kitu iko pale....bei za jumla....kama umetegesha mahali pazu ni biashara nzuri....
 
Bei za Supermarket zipoje ? Yaani tofauti yake ni kubwa kiasi gani ?

Kumbuka huenda wanatoa tofauti kubwa kiasi hicho kulingana na volume wanayouza ambayo wewe utaweza kuiuza?
 
Wakuu habari,,nataka kufungua duka la vinywaji hasa vileo kwa bei ya rejareja maeneo ya Tabata ila bei zangu nataka ziwe za chini kama kwenye super markets vile,,kama Wine, Whisky, Beer shampagne na soft drinks zingine,,,naomba kujua jinsi na wapi napata super supplier's wa hivi
1) Beer za safari, Serengeti, castle lite na laga,na zingine za chupa na kopo take away
2) wine na whiskey
3)soda za Pepsi na koka kola za take away
4) juice zote za box na chupa

Nashukuru nikijibiwa kwa kupatiwa direction za eneo au namba za simu
Mi naomba ajira mkuu ya usimamizi
 
Back
Top Bottom