Duka la TRONICS Morogoro Rd / Mali St | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duka la TRONICS Morogoro Rd / Mali St

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Wambandwa, Jun 7, 2011.

 1. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Nilienda kununua tube light pale leo asubuhi lakini pilika za mle niliona kama vituko. Kuna ubaguzi kifulani vile niliouhisi.
  Wamasai ni walinzi na wanavaa rubega.
  Waswahili wenzetu wanavaa T shirt zenye nembo ya TRONICS (inaonekana wanayo hiyo hiyo moja kwa sababu inaonyesha kutofuliwa toka jana. Kazi ya hawa ni kufunga mizigo walionunua wateja.
  Wahingi wamevaa smart - in light blue shirts kazi yao ni kuandika receipt ukisha nunua.
   
 2. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  kwa hiyo? Huoni kuwa kufunga rubega ni sehemu ya utamaduni wa wamasai? Hata baa kuna ubaguzi basi maana waiters huvaa tofauti na meneja. Ni utaratibu tu. Kusingekuwa na watz kabisa ndo tungeita ubaguzi. Halafu hii si joke,umepoteza maana nzima ya post yako.
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  ubaguzi ....ubaguzi ...ubaguzi
   
 4. morphine

  morphine JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2013
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 2,565
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  duh mimi bado sioni shida kama shule nilikua navaa shati1 nikirudi nyumbani nafua linakauka usiku kucha asubuhi napiga pasi navaa tena...bukta kufua mara mbili kwa wiki...kidume nilikua napeta tu :mvutaji:
   
Loading...