Duka la rejareja linauzwa

Mkuu niuzie huo mzani..nakupa 50 uniletee kesho nakupa na nauli ya kuuleta elf 5.

Una shida kweli na mzani mkuu,ninao kama huo mpyaaa kabisa,upo iringa town kama una mtu huku tuwasiline nikuuzie
 
. Mungu akufanyie wepesi mkuu
 
Huwa inauzwa 150
Acha uongo mkuu..huo mzani bei halisi hauzidi elf 80. Kariakoo shimoni hiyo ipo kibao..kumbuka hiyo mizani hawaruhusu kuuzia bidhaa za rejareja. Mizani inayoruhusiwa ni hii hapa..
 
Ule mwingine kazi yake ni kuuzia nini mkuu
Kwa Mimi nilivyomuelewa kwamba ule mzani mwingine ni kwa ajili ya kuuzia nafaka kwa jumla na sio kupimia kilo moja moja.
Yaani mfano mtu anahitaji mchele kilo 50 au 100 ndio utautumia ule kwa kupima kilo kumi kumi au tano tano Hadi zitimie.
 
mauzo kwa siku wastani ni shingap kabla hatujachukua maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…