Ina wezekana
Member
- Sep 2, 2017
- 74
- 170
Kodi laki moja kwa mwezi.Kwanini unauza mkuu?
Tusainiane uwe unapata kidogo kila mwezi kama laki 5 kila mwezi.
Kodi bei gani kwa mwezi?
Huo mzani sh ngapi dukani ?
.Lipo Kimara mwisho (Tanesco stand ya bonyokwa)
Bei M 3.5
Bei inajumuisha oBidhaa zote zilizo dukani, mizani ya kupimia nafaka, kodi ya frem inayoisha January, Friji kubwa inayofanya kazi.
Mawasiliano. PMView attachment 1205401View attachment 1205405
Muwe waelewa angalau mtumie elimu iliyo wakalisha darasani miaka 20. Muhusika anauza duka lote na si kitu kimoja kimoja tena anauza sababu ya shida. Sasa akianza kuuza kimoja kimoja hiyo shida inayo mkabili nadhani hato itatua kwa wakati.Mkuu niuzie huo mzani..nakupa 50 uniletee kesho nakupa na nauli ya kuuleta elf 5.
70000Huo mzani sh ngapi dukani ?
Duka gani wanauza hiyo bei mkuu?70000
70000
swali zuri hili!! mkuu njoo ujibuMauzo kwa siku ni kiasi gani?