EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,587 Reaction score 21,427 May 13, 2019 #1 wakuu kama kuna mtu analijua dula la mobi sales anielekeze lilipo kuna mahitaji nataka nikapate pale ila sijui lilipo kwa hapa Dar
wakuu kama kuna mtu analijua dula la mobi sales anielekeze lilipo kuna mahitaji nataka nikapate pale ila sijui lilipo kwa hapa Dar
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 10,490 Reaction score 14,566 May 14, 2019 #2 EvilSpirit said: wakuu kama kuna mtu analijua dula la mobi sales anielekeze lilipo kuna mahitaji nataka nikapate pale ila sijui lilipo kwa hapa Dar Click to expand... Wengi hatulijui Hilo duka la mobi sales labda ungeelezea zaidi kwamba huwa wanauza Nini?
EvilSpirit said: wakuu kama kuna mtu analijua dula la mobi sales anielekeze lilipo kuna mahitaji nataka nikapate pale ila sijui lilipo kwa hapa Dar Click to expand... Wengi hatulijui Hilo duka la mobi sales labda ungeelezea zaidi kwamba huwa wanauza Nini?
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,587 Reaction score 21,427 May 14, 2019 Thread starter #3 mbu wa dengue said: Wengi hatulijui Hilo duka la mobi sales labda ungeelezea zaidi kwamba huwa wanauza Nini? Click to expand... wanauza simu mkuu nimewaona kupitia mtandao wa jumia badala ya kununua simu kwenye mtandao nataka niende kwao direct
mbu wa dengue said: Wengi hatulijui Hilo duka la mobi sales labda ungeelezea zaidi kwamba huwa wanauza Nini? Click to expand... wanauza simu mkuu nimewaona kupitia mtandao wa jumia badala ya kununua simu kwenye mtandao nataka niende kwao direct