ComputersDAR
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 213
- 242
Hili duka ni popular sababu wateja wanaamini bidhaa zinazouzwa pale ni "Made in Japan", au ubora wake una kiwango cha Japan. Hii siyo sahihi kabisa. Ukweli ni kwamba bidhaa zao ni za kichina na hazina ubora ule. Wenye maoni kuhusu hili?
Mchina anatengeneza ubora kutokana na pesa yakoHili duka ni popular sababu wateja wanaamini bidhaa zinazouzwa pale ni "Made in Japan", au ubora wake una kiwango cha Japan. Hii siyo sahihi kabisa. Ukweli ni kwamba bidhaa zao ni za kichina na hazina ubora ule. Wenye maoni kuhusu hili?
Tru dat. Hakuna asiyejua hilo. Lakini hawa Miniso wanakuja na utapeli wa kujifanya bidhaa zao ni za ubora wa Japan wakati ni Wachina. Hata maandishi ya Kijapani kwenye bidhaa zao ni feki.Mchina anatengeneza ubora kutokana na pesa yako
Waende ubalozi wa Japan wakahoji kama wana taarifa ya bidhaa zinazosemwa zinatoka kwao katika maduka hayo.pelekeni malalamiko kwenye ofisi zinazodhibiti ubora wa viwango vya bidhaa.
kwakweli aiseeeSiyo Kila Mzungu Ni Padre Wengine Wapelelezi Kama
Wakati Walipokuja Wakina Karl Peter Kwa Gear Ya Kusambaza Injili
Wanachofanya Miniso ni False and Misleading Advertising. La muhimu ni kuwatahaadhirisha watu. TBS siyo sehemu ya kwenda.pelekeni malalamiko kwenye ofisi zinazodhibiti ubora wa viwango vya bidhaa.
Wanauza bidhaa gani?Hili duka ni popular sababu wateja wanaamini bidhaa zinazouzwa pale ni "Made in Japan", au ubora wake una kiwango cha Japan. Hii siyo sahihi kabisa. Ukweli ni kwamba bidhaa zao ni za kichina na hazina ubora ule. Wenye maoni kuhusu hili?
Ee bana tembelea mwenyewe ujionee. Wanauza a mumble-jumble ya bidhaa kama toys, stationery, kitchen utensils, phone accessories, underwear, etc in short vitu ambavyo mtu wa kawaida huhitaji lkn ukiviona utanunua out of impulse. Its all about consumer psychology if you ask me.Wanauza bidhaa gani?
Siyo Kila Mzungu Ni Padre Wengine Wapelelezi Kama
Wakati Walipokuja Wakina Karl Peter Kwa Gear Ya Kusambaza Injili
Kwahiyo unasemaje??Hili duka ni popular sababu wateja wanaamini bidhaa zinazouzwa pale ni "Made in Japan", au ubora wake una kiwango cha Japan. Hii siyo sahihi kabisa. Ukweli ni kwamba bidhaa zao ni za kichina na hazina ubora ule. Wenye maoni kuhusu hili?
Waache kudanganya au kuwapa picha wateja kuwa bidhaa zao zina ubora wa zile za Japan. Waache kutumia "Japan" na "Japanese" kwenye advertising ikiwamo maandishi ya lugha yæ Kijapani kwenye nembo yao na kwenye bidhaa zao.Kwahiyo unasemaje??
Tatizo kubwa la Wa Tz we are completely ignorant about market.Waache kudanganya au kuwapa picha wateja kuwa bidhaa zao zina ubora wa zile za Japan. Waache kutumia "Japan" na "Japanese" kwenye advertising.
AiseeTatizo kubwa la Wa Tz we are completely ignorant about market.
Mbona ineleweka bidhaa zinaandikwa british design haina maana made in britain yaweza kuwa made in tanzania,BEWARE FOLKS! Miniso wanajinadi eti "Japanese Design" na nembo ya kijapani juu, but its all a gimmick. Other than the fancy, colorful Japanese-style packaging for their products, in actuality they peddle the usual cheap, low-quality Chinese trash people are so used to.