Duka la mangi

Duka la mangi

Price

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
1,502
Reaction score
922
Mchele, nyanya, unga, nazi, maharagwe, njegere, choroko, vitunguu, pads, diapers, leso, sabuni, chill and tomato sauce, soda, beers, wine, mafuta ya kula, mafuta ya taa, bamia,vitunguu, kandambili, viatu, uzi,kitana, chanuo,viosheo vya vyombo, vim, chupi, nguo,katani, mshipi, miswki, dawa za meno, panadol, perfumes, sprays, sumu ya panya...... yani vikolokolo vyote... Duka la Mangi.... wengine wauze nini...!
 
24.jpg

cc:
user-online.png
Price
 
Pia misumari nyundo makofuli nk kweli mangi noma!
 
Hio ndio maana ya convenient shop..., yaani kila kitu cha haraka haraka inabidi kipatikane hapo, kama wengine maduka ya hizo bidhaa hazipo basi sio duka bali ni genge
 
Mchele, nyanya, unga, nazi, maharagwe, njegere, choroko, vitunguu, pads, diapers, leso, sabuni, chill and tomato sauce, soda, beers, wine, mafuta ya kula, mafuta ya taa, bamia,vitunguu, kandambili, viatu, uzi,kitana, chanuo,viosheo vya vyombo, vim, chupi, nguo,katani, mshipi, miswki, dawa za meno, panadol, perfumes, sprays, sumu ya panya...... yani vikolokolo vyote... Duka la Mangi.... wengine wauze nini...!

umesahau mbolea, mnyororo wa mbwa, pembejeo za kilimo, daftari, kadi za harusi, birthday nk
 
Kama na wewe una biashara zinazofanana halafu mko maeneo ya karibu, dawa kushusha bei kwa kila bidhaa kwa kiasi fulani
 
Mchele, nyanya, unga, nazi, maharagwe, njegere, choroko, vitunguu, pads, diapers, leso, sabuni, chill and tomato sauce, soda, beers, wine, mafuta ya kula, mafuta ya taa, bamia,vitunguu, kandambili, viatu, uzi,kitana, chanuo,viosheo vya vyombo, vim, chupi, nguo,katani, mshipi, miswki, dawa za meno, panadol, perfumes, sprays, sumu ya panya...... yani vikolokolo vyote... Duka la Mangi.... wengine wauze nini...!

wametumwa pesa
 
Ndio inavyotakiwa. Tambua mahitaji ya wateja wako,(ukiwa kama mfanyabiashara).
Na ndio maana hawa jamaa ktk maduka wamesimama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom