Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,243
- 90,302
Kwa ujumla na kiuhalisia, baadhi ya Wabongo ni watu wanaofanya mambo kwa taratibu na kujivuta. Hata hivyo, kwenye duka la dawa (pharmacy) ni eneo ambalo mtu anapaswa kujitahidi kufanya mambo kwa haraka ili kuwapa nafasi wengine nao wapatiwe huduma kwa faragha.
Jambo lingine la hovyo kwenye biashara ya pharmacy ni watu wasiokuwa wateja kukaa kiholela kaunta na mashosti, majirani zao wa biashara au ndugu zao wakipiga stori, huku wakisikiliza na kukodolea macho wateja wanaoongea na kutaka kupata huduma.