Duka gani la simu aina ya Samsung Arusha

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,835
2,630
Wadau nahitaji simu aina ya Samsung A20c naomba kujua bei yake kwa hapa Arusha na ni duka lipi linauza hizi simu org
 
Nenda hapo Stand kubwa kuna duka linaangaliana na hayo mataa hapo, wanazo OG
 
Kwa Benson chenga tupu juzi nimeenda kununua simu pale bei ni zaidi ya 50k ukicompare na wauzaji wengine ambao ni Samsung authorized dealer .Pia guarantee ni sawa 24 months. Ebu jaribu kwa muhindi fulani duka lipo karibu na jengo la Ngorongoro kama unashuka kuelekea kanisa la KKKT
 
Ahsante mkuu
 
Maduka mengi sana anza Friends Corner Sokoine Rd panda kuja stendi kubwa malizia stendi ndogo hutakosa
 
Nikuuzie ya kwangu nimenunua mwezi wa kwanza mwaka huu,
Nakuuzia Bei 320000 cash
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom