M Manyerere Jackton JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 2,438 Reaction score 4,463 Sep 21, 2015 #1 Kuna vijana wameomba niwanunulie jezi za soka. Naomba kujua duka lenye vifaa hivyo jijini dar es salaam kwa bei ya kiungwana.
Kuna vijana wameomba niwanunulie jezi za soka. Naomba kujua duka lenye vifaa hivyo jijini dar es salaam kwa bei ya kiungwana.
Erick kg JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 314 Reaction score 73 Sep 22, 2015 #2 Yapo kariakoo. Je unataka ngapi?