Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,925
- 95,582
Wewe kile kitambi chako bado kipo?Kwanini asinywe maji tu kwa muda wa miezi 2 ataona mabadilikoooo lowasaaa lowasaaaa mabadilikoo
Huyo moyo wake kilo 10 huyo. We unafikiri eti moyo utabaki uzito uleule. Hamna kitu kama hichoHuyu mtoto anatia huruma, hapo ni kuwa kila organ katika mwili wake inafanya kazi zaidi kutokana na uzito wa mwili, kuanzia moyo, figo, mapafu, na vinginevyo, na matokeo ya kuoverwork organs ni kuwa zinakuja kushindwa kufanya kazi.