duh, wazoefu nisadieni katika hili

jazia

Member
Joined
Sep 10, 2011
Messages
6
Points
0

jazia

Member
Joined Sep 10, 2011
6 0
kuna mkaka niliwahi kumdate arafu tulikaa miezi ka 2 tukagombana kwa k2 kidogo tukaliana cul miaka 2, akanitafuta kanieleza kipindi kile tatizo lilikuwa nini me nikampotezea takiribini miezi 4 anadai alinipenda sana anaomba niwe muelewa nimpe nafasi tena na yupo serious ktk hili, nikamwambia npe mda, Ila nimeshindwa kumsoma vizuri maana toka nimempa jibu zuri imekuwa tabu tupu, cm anapiga mara moja kwa siku mbili au tatu na mimi nikituma text yakumjulia khali hajibu, najikuta mda mwingi na utumia kulaumu kwani nilishampa nafasi ktk moyo wangu, jubu analo kuja nalo anadai anaomba nizoee hii khali kwan yeye anacomplicate vitu vya maendeleo tuu, mara nachoka sana na akirudu anajikuta analala anapitiliza anasahau kunicall/kureply text zangu hizo ndo sababu zake, jana nikamfungukia na kumueleza mimi nimeshindwa kuvumilia hii khali kwakweli, akajibu nikae chini nitafakari kwakina kabla ya kumdate mvulana mwingine/ kufanya maamuzi kwani wachache kama yeye hajawahi kuniambia suala zima wala kunisumbua kuhusu sex, asubuhi nimemjulia khali hakujibu, badae nikamask kama anamda aje home hakujibu, nimecall hakupokea, kinachonikera zaidi nikiamua kupotezea baada ya siku mbili au tatu anapiga au ananitaka niende kwake akidai mara leo nipo free kama una mda naomba uje? nikimwambia labda nipo busy ndo ajibu tena, duh, ama kweli ni mtihani wa maisha binafsi nimeshindwa kumuelewa kwakweli, inshort anaitesa nafsi yangu.
 

Jestina

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
4,822
Points
1,250

Jestina

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
4,822 1,250
kama unaona mko incompartible,tafuta mwingine utakayekuwa na amani naye....asikutishe kukuambia ufikirie mara mbili kumuacha anajua sana anachokifanya ni kuplay na mind yako...kick his as*s!
 

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Messages
2,189
Points
1,225

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2011
2,189 1,225
Duuh mkuu umeandika utadhani unakimbizwa.?

Back to the topic

1. Inaezekana kweli jamaa yuko bize na mendeleo kwanza lakini jaribu kufanyia uchunguzi madai yake

2. Au tayari anamtu wake kwahyo alikuwa anataka akuone tu msimamo wako ukoje lakini hana time nawewe, muda mwingi anatumia kuwasiliana na mpenz wake xo wewe kwake huna nafasi sana.

Jaribu kukaa naye na kuzungumza kwa kirefu juu ya tabia yake hyo kuwa huipendi, kama ameshindwa kureply sms anaweza hata kubip kuashiria kuwa kapata ujumbe...
 

jazia

Member
Joined
Sep 10, 2011
Messages
6
Points
0

jazia

Member
Joined Sep 10, 2011
6 0
@Mtalingolo, mpaka nafika hapa yote nimeishamueleza ndugu yangu, ngoja nifanye maamuzi magumu siku akipiga simu au kutuma text itabidi nipotezee amenichosha akili yangu.
 

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Messages
2,189
Points
1,225

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2011
2,189 1,225
@Mtalingolo, mpaka nafika hapa yote nimeishamueleza ndugu yangu, ngoja nifanye maamuzi magumu siku akipiga simu au kutuma text itabidi nipotezee amenichosha akili yangu.
<br />
<br />
Basi mkuu hapo we kunja sura kunjua moyo afu ng'ata meno then funga vioo, unampita kama humjui vile, dalili za wazi zote kuwa hakupendi ameshakuonesha, Mapenz mawasiliano bwana.........
 

kisukari

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Messages
4,461
Points
2,000

kisukari

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2010
4,461 2,000
hayo jamaa either hayupo moyoni kiivyo kwako au ndio tabia yake,hajui kupenda mtu kiivyo.jaribu kumueleza how you feel,kama habadiliki,na wewe kaa kimya kwa muda,na kama akiendelea kuwa hivyo,move on hafai
 

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
38,219
Points
2,000

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
38,219 2,000
first nipo curious na jina lako
lina maana gani?

halafu ni wazi huyo mtu haupo moyoni mwake
hajali saana.wewe tu unajisumbua
chapa lapa
 

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Messages
2,655
Points
2,000

CORAL

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2011
2,655 2,000
Mtu akipenda hata awe busy vipi hawezi kukosa muda wa kucall au ku text mpenzi wake. Anapopigiwa atapokea au kutext kwamba "sorry baby im busy now i will call you later" na kisha atapiga kweli. Hakuna excuse ya kukaa kimya siku 2 au 3. Potezea kabisa huyu mtu hakufai.
 

ENZO

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
4,103
Points
2,000

ENZO

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
4,103 2,000
kama tatizo nikukutext na kukucall niPM namba yako niwe natimiza hayo majukumu badala yake.
 

jazia

Member
Joined
Sep 10, 2011
Messages
6
Points
0

jazia

Member
Joined Sep 10, 2011
6 0
@all asanteni sana wakuu, baada ya kupitia coments zenu hasira hiyo na kumaliza kila kitu jana, ajalala usiku akipiga simu me kimia maana nimemtext text moja imeenda shule kidogo baada ya kupiga sana simu haipokelewi alianza kufunguka matext sijui huo mda kaupata wapi, nimeanza namjibu ila text zangu zilikuwa zina kaugumu fulan anaona kuanza kuzijibu anachelewa panic ile akawa anapiga me nakata call zkizid naweka silent au cm nazima kama dk kazaa, nikiwasha tu nakumbana na text zake, finaly ndo vile na nimempa angalizo "kama ndo tabia yake awafanyiage dalasa la 7C au mdada ambaye hatambui umuhimu wake" once again thanx wapendwa kwakushirikiana name ktk hili!!!!!!!!!!
 

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,613
Points
1,225

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,613 1,225
Mtu ambaye alikukosea au mlikosana mkaombana msamaha, kama kweli alikuwa amedhamiria kurudi hawezi kukuletea usumbufu wa kukera hivyo. Huyo ana mtu so anataka kuwa na wewe kama spare tyre tu incase mtu wake hayupo awe ana kasehemu ka kum-keep busy. Take care
 
Joined
Oct 3, 2011
Messages
47
Points
70
Joined Oct 3, 2011
47 70
piga chini ni ri player hilo utasumbuliwaje na jitu linaloonesha halina hali ya kujali hata kidogo.Mtu kama huyo inakuwaga hivi "lina kademu kake kazuri ila likipata mda wa kuchezea ndo linakukumbuka wewe" yaani linakuweka wewe kama substitute wa demu wake.MULIKA MWIZI DADA YANGU.
 

Forum statistics

Threads 1,379,220
Members 525,346
Posts 33,738,379
Top