Kuna binti furani nilikutanae miezi miwili iliyopita ni nilimpenda sana na tukapeana ahadi nying. Chakushangaz Juzi kaniomba sh 20,000/= Nikamwambia kwa sasa hyo pesa sina mmmh kumwambia hivyo tu ndo kanuna mpaka leo anitafuti,nampigia simu yake sometme anapokea or hapokei.....jaman hpo kuna TRUE love kweli......give me USHAURI ​