Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,251
karibu darasa linaanza rasmi usiku. ukiamka utakuta notes kwenye pm . nunua daftari na peni.
khaa usiku mmmhh haya ndo masharti ya mfundishaji...nasubiri....
karibu darasa linaanza rasmi usiku. ukiamka utakuta notes kwenye pm . nunua daftari na peni.
Hapo penye red, umekosea-slip of finger au.....
Mungu wangu Akubariki kila Unapoingia na Kutoka iwe Baraka! Sema Amen!najitolea kukufundisha bure elimu ya biashara na mambo unayotakiwa kufanya,nipm kama uko tayari darasa lianze
Hahahahaaah!! Mkuu ungemezea tu....!!
khaa usiku mmmhh haya ndo masharti ya mfundishaji...nasubiri....
Mungu wangu Akubariki kila Unapoingia na Kutoka iwe Baraka! Sema Amen!
Yaani si mchezo kama hujaanza acha kabisa hii kitu, mmesikia dada zangu
mimi sirudii tena.
usiku yeye akilala namtumia notes. akiamka anasoma harafu anauliza maswali mbalimbali nayajibu adi mchana
Hakuna cha kujipanga, yaani uhuru wote unapotea.
Asa unataka uhuru upi while pesa ni ya Vikoba?