Duh,Ugeni wa ghafla

Duh,Ugeni wa ghafla

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,675
Reaction score
7,307
Ni usiku mida ya saa 2 usiku,namsikia mke wangu akimwambia mdada wa kazi fungua geti,akaenda kufungua,gari nyeupe ikaaingia.Sikuwa najua ni kina nani,ghafla naona watoto 2 mmoja wa kike na mmoja wakiume wanashuka kwenye gari,acha nishangae.Hamad,ni watoto wa binti yangu,na mama yao na mumewe wanashuka.Nilishangaa vipi bila taarifa!.

Huyo ni binti yangu ambae nilimzaa na mke wangu wa 2 ambae sio mtanzania,kaja na mumewe ambae ni Mmarekani mwenye asili ya india kama akina kash patel.Huyo mwanangu wa kike ndiye mwenyekiti wa umoja wa watoto wangu.Jambo la kufurahisha ni kwamba anakijua kiswahili.Sijui ni kipi kimemleta ghafla hii,pengine kesho ntajua
 
Mkilewa msiwe mnashika simu.
 
Una watoto wa ngapi ???
Na umezaa kutoka kwa wanawake wangapi?

Kuna jambo nataka kujifunza.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
baba na mtoto mawasiliano yenu mbona kama hafifu
Hapana yapo vizuri sana,ila hii ni suprise ya aina yake.Tuna mawasiliano mazuri mno maana kwa jinsi tulivyo configure maisha yetu,official communication baina ya mimi na watoto wangu na baina ya watoto wangu na mimi yanapitia kwa huyo bonti yangu,mfano:
1.matumizi yangu yote watoto wakichanga kila mwezi ni yeye ndio ananitumia
2.Nikihitaji kitu nje ya bajeti yangu napitisha kwake
3.Matengenezo ya gari langu au magari ya wake zangu yanapitia kwake.
Hivyo hakuna shida
 
Back
Top Bottom