huko mancity leo lazima uumie bila kujali upo kwa mkopo!!united 2 city 1!Mi nishasusia toka Maximo alipofanyiwa MIZENGWE, nilikuwa Yanga.
Timu ya Taifa nimechagua GHANA klabu kwa nje nilikuwa LIVERPOOL
lakini kwa sasa niko MANCITY kwa mkopo, angalau napata raha ya soka.
nguvu zipi za messi unazoziongelea!!!Hata mimi nimeamua kususia, yaani wale wanaume wetu uwanjani
wako legelege kama nini vile..... Nilitamani kulia jinsi wale wanaume wa
wenzetu walivyokuwa wanahangaika uwanjani. Sijui hawali wale.......
Yaani wamenikera.... nahisi hawa wa kwetu wanashindia soda na biskuti
mbona mesi ni mfupi kama wao lakini ana nguvu?
Acha kuuliza makusudi mkuu, sio hizo za viroba na pwezanguvu zipi za messi unazoziongelea!!!
mkuu Mzee wa kurekebisha,pole utaendelea kukaa huko kwa mkopo au utakuja man u kwa usajiri wa kudumu!!Mi nishasusia toka Maximo alipofanyiwa MIZENGWE, nilikuwa Yanga.
Timu ya Taifa nimechagua GHANA klabu kwa nje nilikuwa LIVERPOOL
lakini kwa sasa niko MANCITY kwa mkopo, angalau napata raha ya soka.
Kama si mbeleko za ajabu ningekuja we si umeonemkuu Mzee wa kurekebisha,pole utaendelea kukaa huko kwa mkopo au utakuja man u kwa usajiri wa kudumu!!
ha ha ha ha ha!!!basi nakushauri uhamie Tottenham kiongozi!!Kama si mbeleko za ajabu ningekuja we si umeone
jinsi Yaya Toure alivyozuiwa kwenda kufunga?
kila siku naona unamkimbia mbuni, unamuogopea nini?ha ha ha ha ha!!!basi nakushauri uhamie Tottenham kiongozi!!
mkuu hako kaumbo kangu kadogo akinikanyaga nitabaki kweli!!kila siku naona unamkimbia mbuni, unamuogopea nini?
mkuu hako kaumbo kangu kadogo akinikanyaga nitabaki kweli!!
anyway in life you need to be running always!!hasa sisi tusio na historia ya ufisadi katika ukoo!!
ni kweli kiongozi united naona kama watakula sikikukuu wakichekelea!!ila dakika za mwisho city walikua juu!!thank God Van yuko united!!!Leo kiongozi imekula kwa man city kama nilivokutabiria jana hongera mkuu.
ni kweli kiongozi united naona kama watakula sikikukuu wakichekelea!!ila dakika za mwisho city walikua juu!!thank God Van yuko united!!!
mkuu hivi hata lile kabati la kuwekea makombe bado mnalo au mlishaliuza!!!just kiddingAsernal tunakula kwa macho si unaona upachikaji mabao umekuwa shida kwetu! mmepata jembe mkuu.
mkuu hivi hata lile kabati la kuwekea makombe bado mnalo au mlishaliuza!!!just kidding
Mi nishasusia toka Maximo alipofanyiwa MIZENGWE, nilikuwa Yanga.
Timu ya Taifa nimechagua GHANA klabu kwa nje nilikuwa LIVERPOOL
lakini kwa sasa niko MANCITY kwa mkopo, angalau napata raha ya soka.
ni kweli kiongozi united naona kama watakula sikikukuu wakichekelea!!ila dakika za mwisho city walikua juu!!thank God Van yuko united!!!