Dah; sijui yupo jengo letu hili au lipi; nimependa ushauri wako!anza kuwa rafiki nae kwanza....unaweza kuta sio wa hivyo unavyomdhania......ila kama ndio hivyo yupo.....why not bana....you live only once you know.......:wave:

@Marytina... chaguo ni lako kama vipi mpe mshikaji wewe mwili wako si unataka? achana na wanafiki wa humu JF wanajifanya descent saaana kumbe wanatamni kwa kila hali hilo zali liwakute wao..
remember.. AIDS always is there
mi nakuona unafaa sana as umetambua kuwa ni tamaa ya mwili ndo inayokutesa!
kasheshe ni kupambana nayo!
hawa vilume wanaokwambia hufai sijui nnini watuambie wao huwa wanajikinga vipi na vita ya maungo ya wadada ambao kadri siku nzinayoendelea ndivyo tunavozidi kuvianika na kuwatamanisha
:A S 11:
shauri ndio hizi sasa........
Akipitia hapa umekwishaarusha, baba mngoni, mama mchagga
.........duh nimeisha..........wana jf nina mchumba na staki acha naye kwa vyovyote ila
kuna mkaka yupo floor ya tano ni mzuri na mpole kupindukia.Nahisi staweza kumkataalia naomba asiwe malaya manake sina nguvu ya kumkataa.Tena nashukuru sina ujasiri wa kumtongoza mwanaume ningeshafanaya hivyo
Ofisi yao imehamia kwenye jengo letu karibuni...siku ya kwanza nlikutana naye kwenye lift nkaamua kupandisha nione anaposhuka.Alinipa salam nkashindwa hata kuitika.
Kama nuksi tukakutana kafeteria baada ya siku mbili tukakaa meza mmoja nlikula kidogo tu manake alipoanza mazungumzo nilijiona akili inavyonihama nkajipigia simu mwenyewe nkapokea nkajifanya naitwa juu.
Kama vile ameshanishtukia manake leo asubuhi kanitania alikula sahani zote mbili.
Najiuliza
1.Atakapoomba namba ya simu itakuwaje (hivi kwa umri huu kumnyima mtu namba nitaeleweka wakati tupo jengo mmoja).......AKIIPATA NAMBA YANGU NIMEISHA NA KUANZIA LEO WAKATI WA KULA SIENDI NA SIMU
NB:jaman huyo kaka ni mzuri sio mweupe wala mweusi, ana lafudhi ya bara, sio mfupi sio mrefu, sio chembamba sio chibonge.
MOYO NA AKILI VIMENIKATAZA KUMKARIBIA HUYU MKAKA ila MWILI unamtamani sana hadi ngozi imebadilika na kuwa rafu pia rangi imenifubaa gafla kwa kumtaka kila napomkumbuka
wala!!!!!!!!!
ni uzuri tu wa huyu mkaka
mbona nyie mnatamanigi wadada wazuri???na mimi nina haki ya kutamani
Kama ingekua ni karoti...ingekua imeshaisha au kama ingekua ni kitumbua basi kingekua kimeisha lakini hivi vitu si kama hivyo tudhaniayo. Vipo tu, ndio maana juzi ulipokuja pale Cafetria na kiblauzi chako kile na sketi yako na kila saa unanitazama kwa kuibia ibia nikaona umeshaisha wewe, mimi nilipenda tu baluzi yako, hata hii uliyovaa leo pia si mbaya sana, tatizo lako nimekuchunguza "Tanga fresh" yako mmmmh sio ya kivileeee
we dada unajipaisha tu kwani kasema anakutaka yeye?umejishuku kuwa atakutokea....hakutokei ng'oooo huenda anaye mtu anayemkubali kama ww unavomkubali mmasai wako labda na unaweza jilengesha halafu ukapotezewa tu.
arusha, baba mngoni, mama mchagga
.........duh nimeisha..........wana jf nina mchumba na staki acha naye kwa vyovyote ila
kuna mkaka yupo floor ya tano ni mzuri na mpole kupindukia.Nahisi staweza kumkataalia naomba asiwe malaya manake sina nguvu ya kumkataa.Tena nashukuru sina ujasiri wa kumtongoza mwanaume ningeshafanaya hivyo
Ofisi yao imehamia kwenye jengo letu karibuni...siku ya kwanza nlikutana naye kwenye lift nkaamua kupandisha nione anaposhuka.Alinipa salam nkashindwa hata kuitika.
Kama nuksi tukakutana kafeteria baada ya siku mbili tukakaa meza mmoja nlikula kidogo tu manake alipoanza mazungumzo nilijiona akili inavyonihama nkajipigia simu mwenyewe nkapokea nkajifanya naitwa juu.
Kama vile ameshanishtukia manake leo asubuhi kanitania alikula sahani zote mbili.
Najiuliza
1.Atakapoomba namba ya simu itakuwaje (hivi kwa umri huu kumnyima mtu namba nitaeleweka wakati tupo jengo mmoja).......AKIIPATA NAMBA YANGU NIMEISHA NA KUANZIA LEO WAKATI WA KULA SIENDI NA SIMU
NB:jaman huyo kaka ni mzuri sio mweupe wala mweusi, ana lafudhi ya bara, sio mfupi sio mrefu, sio chembamba sio chibonge.
MOYO NA AKILI VIMENIKATAZA KUMKARIBIA HUYU MKAKA ila MWILI unamtamani sana hadi ngozi imebadilika na kuwa rafu pia rangi imenifubaa gafla kwa kumtaka kila napomkumbuka
sio kwamba nataka awe mume wanguDu pole ndugu yangu, ila unatakiwa uwe makini sana mana hao wanaume wazuri na wapole mwisho wa siku hutatamani hata kuwaona mana wengi wao wanajua kuwa watapata wanawake bila hata kuwatongoza na kama hajatulia ndo balaa zaidi. kaa tuliza akilia yako ili baadae usije ukajuta. unakumbuka wimbo wa mwasiti, ukarimu na upole wake ndo vilivyomponza so bora kuchukua tahadhari mapema.
Kashushie hisia zako na bia mbili pale Matongee ili usije ukamuota usiku ukalambwa sime la skonzi zako..:majani7:
wala si avatr.. matope kabsaaa.. hapo uko timamu mwili unajikwaakwaa.. ukiwa hujitambui usingizi unaota na mkuu wa kaya anakusikiliza unatarajia nini?! ZA USO!!unajiona mjanja kutukana
akili kama za avatar
Mwonja Asali.......:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:sio kwamba nataka awe mume wangu
nachotaka ni sex tena mara mmoja tu hamu ya kulala naye iniishe manake nateseka
awe na mkee na watoto hainihusu