Duh mtaani pagumu jamani khaa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh mtaani pagumu jamani khaa!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by The Dude, Jul 12, 2012.

 1. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kindly allow me to share my experience/plight..and i invite you to give worthwhile advise.

  Yani ukimaliza chuo ndio unaona tofauti kati ya inservice na freshers..
  Wao wamerudi maofisini bila stress,wanawasilisha transcripts tu na kubadili ngazi ya mshahara.
  Halafu wewe unaanza kuhustle,ukifanikiwa mshukuru mungu..but chances are,you‘re going to tarmac like i do. Nothing comes forth. Sometimes najilaumu kwann sikupitia diploma ya ualimu au kwenda jeshi kwanza.But you can‘t blame me,can you?Elimu yetu ilivo,it is prestigious kupata division one na kwenda chuo kusoma the so called ‘noble proffessions‘ (or at least being in university,the course you take notwithstanding)..it is fancy,whereas you are deemed a ‘tabula rasa‘ kilaza if you take the former route.

  Now what‘s the result?Hata nauli za kuzunguka mjini zinaisha,na wafadhili wanakuchoka coz hubebeki..Najiuliza sjui nifanye nini kuearn a lliving now na kuwa independent. May be mnipe mawazo wadau.

  Ila tu nimegundua a bachelor degree is not the sole thing you you need to make it in life.There‘s more to that,like technical ‘know-who‘,out-of classroom skills,life skills etc.

  I mean,have you ever been in a situation you grudgingly want a casual job you never pictured yourself doin even in the back of your thoughts? Say,tea gir/boy, And you don‘t get it as well?
  Regards,
  Kisu
   
 2. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana Kisu lakini usikate tamaa. Naomba tuwasiliane kupitia namba hii 0654 467758. Pia naomba ufikirie kuanzisha KISU KNOWLEDGE BUREAU. Tutaongea zaidi. Nitumie tu sms kisha nitakupigia.
   
 3. U

  Ujugu Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo mana tunasema hii ni home of greatthinkers.Hebu wenye nafac msaidien Kisu ili naye acjialumu.Nmeisoma yan nam ikansononesha.
   
 4. J

  John W. Mlacha Verified User

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ukiwa na tatizo usifikiri kuwa wote wana tatizo kama lako..kama umepigika usifikiri kuwa ni watu wote labda kama wewe ni msemaji wa watu wote.
   
 5. J

  John W. Mlacha Verified User

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  I hate people who use to discourage others.. Kila mtu ana mlango wake kama wako ni mgumu usifikiri kuwa lazima kila mtu apitie mlango wako. Ama nakosea wadau?
   
 6. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama umesoma accounts/finance fika enrich africa ukapige interview usikilizie mchongo wa kazi.
   
 7. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  haya milango hio inafunguka...mungu wetu ni mwema sana.....:redface::redface:
   
 8. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ovias KISU umeua LL.B UDSM >>..he he he! Karibu mtaaani..
   
 9. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  tatizo ukiwa chuo unaona kila kitu is possible within a minutes lakini ukija kitaa bana du mambo tofauti! Tumia elimu yako uliyoipata vizuri silazima uajiriwe hata kama utaajiliwa si kwa mshahara unaoutaka. Self employment is the best option and u can earn more money than ukiajiriwa!
   
 10. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Welcome to the world
   
 11. C

  Chassarsenal Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo lenu mkiwa mpo vyuoni mnajisahau. Huo ndo mtaa na bdo utatembea na vyeti mpk vipauke. Mkiwa chuon mnapeana hope kuwa mtaan michongo na mishe za hela znapatikana kirahisi. Ila ucwor km umepg kozi ya Education kuwa mvumilivu ajira utapata tu bt ndo vile bdae sna mwezi januari 2013. Kwa mda huu unawez kuomba temporary job. Dah! bac nayo nfkr itakuw ngumu coz xul nyng zna walimu wa field then xul ztafungwa kwa ajil ya sensa mpk Septemba. Pole sna ndo ujifunze ukipata kaz usiichezee.
   
 12. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Pole sana ndugu,we learn through mistake but dont lose the subject.The word is changing,zamani unatoka chuo kazi uhakika sasa hivi mambo yamebadilika.Kumbuka "it is not the strongest who will survive but those who can adapt changes".Be flexible,just like water ,I love water(Aqua) cause water take shape of a container in which it is placed.
  Me too after school I found out that there are life skilsl not taught in our school systems,but any way to cut the story short dont stick to profession while you dont have even money to support your basic needs.Dont give up so easily,somewhere they need you the problem is how to find that place where they real need you.
  we live in information age,you need ideas to keep life going.Those without job they are looking for job,those in job are tired of jobs they want to employ themselves.Sit down ,assess yourself where did you go wrong in your life,do the necessary step to correct.Never blame for anything you have done in your past coz you cant change the past.
  Look around your society,there is a lot of problems that need solution.Find a solution to one of them in turn you will earn money.Remember you have to give first before you receive.Vyuo vyetu vingi wanatuandaa kwenda kuajiliwa,hawatuandai kwenda kujiajili.This is a big problem.
   
Loading...