Duh! Magufuli akerwa na tabia za Wabongo kujisaidia na kuchafua BRT

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,238
50,413
Adai wanalala, wanakunya na kukojoa humo. Wengine wanaendesha magari yao humo na ametoa amri yakamatwe na kuong'olewa matairi yakauzwe. Hehehehe!! huko ni kituko aisei.

 
Lool...... Syokimau imekuwa online for nearly a year hatujaskia haya yao wiki mbili tu ishakuwa balaa
 
Tutabadilika tu hatujavizoea hivi vitu ndio kwanza tumeanza kuvitumia na vimeanza almost katika vipindi vinavyofuatana.Daraja la Mkapa watu walikuwa wanaiba mavyuma ya pembeni ya daraja,Daraja la Kigamboni watu waliiba speakers,BRT watu wanajisadia,wengine wanalala kwenye miundo mbinu,n.k nk. mnaweza kujazia na vinginevyo.....
 
Tutabadilika tu hatujavizoea hivi vitu ndio kwanza tumeanza kuvitumia na vimeanza almost katika vipindi vinavyofuatana.Daraja la Mkapa watu walikuwa wanaiba mavyuma ya pembeni ya daraja,Daraja la Kigamboni watu waliiba speakrs,BRT watu wanajisadia,wengine wanalala kwenye miundo mbinu,n.k nk. mnaweza kujazia na vinginevyo.....

Hehehehe!! Mbavu zangu, watu wananiona chizi kwa jinsi navyocheka hapa nilipo. Ndio Afrika yetu....
 
Hii mkuu imenimaliza, raisi mzima anawambia waache kunya humo.kwani dar hamna vyoo vya kanju.
 
umbumbumbu na umbea wa wakenya a.k.a wakabila BRT ni nini? hiyo ni DART ya kwenu yanawashinda nyinyi.
 
umbumbumbu na umbea wa wakenya a.k.a wakabila BRT ni nini? hiyo ni DART ya kwenu yanawashinda nyinyi.

Bus Rapid Transit (BRT)
Halafu wengine inasemekana mnadungadunga wamama humo ndani ya mabasi. Nyie bana...
 
Adai wanalala, wanakunya na kukojoa humo. Wengine wanaendesha magari yao humo na ametoa amri yakamatwe na kuong'olewa matairi yakauzwe. Hehehehe!! huko ni kituko aisei.


Huyu ni Rais Wetu Wa Africa Mashariki na Yakati ....Fanya kazi wewe ni TAA YA AFRIKA
 
sasa BRT imekua kero kubwa jijini Dar.Si kinyesi na danguro.Soon pamoja na zile accident tunazoshuhudia,huu mradi utakua white elephant.Only 2 weeks and we are witnessing this pathetic mess?......
 
Back
Top Bottom