fabinyo JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 3,043 Reaction score 2,250 Jun 18, 2013 #1 [h=2]http://www.swahilitz.com/2013/06/du-hii-nayo-kali-jamaa-azama-kwenye.html[/h] Baadhi ya wakazi wa jiji wakimuangalia mtu ambaye hakufahamika jina aliyekuwa akitafuta kiatu kilichotumbukia katika mfereji wa majitaka, kama alivyokutwa Ubungo, Dar es Salaam juzi.
[h=2]http://www.swahilitz.com/2013/06/du-hii-nayo-kali-jamaa-azama-kwenye.html[/h] Baadhi ya wakazi wa jiji wakimuangalia mtu ambaye hakufahamika jina aliyekuwa akitafuta kiatu kilichotumbukia katika mfereji wa majitaka, kama alivyokutwa Ubungo, Dar es Salaam juzi.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,359 Reaction score 111,653 Jun 18, 2013 #2 Sasa hao jamaa wengine kama si umbea ni nini...wabongo wanapenda habari!!!
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Jun 18, 2013 #3 Hukawii kukuta kiatu chenyewe soli imelika upande!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,932 Jun 18, 2013 #4 Duh.....badala ya kumsaidia wanamshangaa.