Hahahhaaaa, na vile alivyonuna...?
Asije kunipa jibu zito bure...ngoja nimuache apumue kwanza...!
Unadhani atakataa kuckia unataka mambo?
Sisi wanaume tunalainika sana wen t camz to dat...
Its gud wen u hear ur other half z thnkn of u n anataka mambo
Tena itabidi umtafute yule mjusi kafiri...........Awe kama huyu hapa chini..............Ntajitahidi...akijifanya mbishi nitamtafuta MziziMkavu anifundishe kutengeneza limbwata la mjusi..
Tena itabidi umtafute yule mjusi kafiri...........Awe kama huyu hapa chini..............
![]()
tunamuuwa na kisha unampika awe mtamu kisha unampe shemeji yangu kwenye chakula basi hakutoki huyo atakupenda na mjinga kimapenzi kama alivyo huyo mjusi ........:A S wink::cool2::A S 11:
Nitamwambia...loh..
Manake nimemmiss hatariii!
Nlikuwa siamini zile stori za "Usiku silali nakuwaza wewe" Kumbe kweli...!
Tena itabidi umtafute yule mjusi kafiri...........Awe kama huyu hapa chini..............
![]()
tunamuuwa na kisha unampika awe mtamu kisha unampe shemeji yangu kwenye chakula basi hakutoki huyo atakupenda na kuwa ni mjinga kimapenzi kama alivyo huyo mjusi ........:A S wink::cool2::A S 11:
Yani ungejua hata sina...basi tu mahaba yamenivuruga kama bunge la katiba.
Huyo nyoka tu ana sumu na analiwa...sembuse mjusi?
Hahahaaaa, yupo mbaliii!
Mtt wa watu umekaa kitandani pk yako unawaza mpododo
Yani hadi nimecheka kwa sauti....akichomoa je?
Umenifanya nicheke kwa kweli