duh kumbe si kama nilivyotarajia!!

Rebel volcano

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
403
86
vita si mchezo,omba uvione hivyo hivyo kwenye tv na uvisikie kwenye radio siku vikifumuka utajua kuwa film za hollywood na risasi za ukweli ni tofauti!!!
 

Attachments

  • 36.jpg
    36.jpg
    35.8 KB · Views: 158
Tatizo ni kwamba wanaofanya maamuzi ya kuingia vitani au la mara nyingi ni wanasiasa na sio wapiganaji, laiti ingekuwa ni wapiganaji dunia ingekuwa na vita chache sana!
 
Askari wengi wanao pigana vitani hawanufaiki kwa wanachokipigania, wanadangaywa kuwa wanapigania nchi yao wakombozi, wanamapinduzi, lakini baadaye hawanufaiki na ukombozi wala mapinduzi husika.

Vita ya kweli ni ukombozi wa fikra.
 
Back
Top Bottom