Duh! Hizi simu jamani

Duh! Hizi simu jamani

Travis samwel

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
215
Reaction score
42
Habar wadu,

Npo kwenye bas nasafiri, nyuma yang wamekaaaa mtu na mpenz wake mara simu inapigwa kweny simu ya mwanamke na mwanaume anachukua cm ya mwanamke na kuipokea, hallow ww nan?

Upand wa pili unanijib naomba kuongea na mweny simu, jamaaaa akajib mm ndo mwnyw simu niambie ww ni nan? Jamaaaa upande wa pili kuona mwanaume anamjib kiukali akaamua kujib, sorry nime wrong number.

Acha jamaa aanze kumtukana mshikaj, abiria tukashikwa na mshangao kusikia matus ya nguon yanazid!!! Baada ya matus jamaa anamgeukia mwanamke na kumuulza, unamfaham huyu mtu?

Mwanamke anajibu, hapana simfaham kabisa Bdo ugomvi unaendelea hapa wa chinchini

Tafadhal usijipe pressure kwa kupokea simu ya mkeo au mumeo
 
habar wadau!!!! Npo kweny bas nasafr, nyuma yang wamekaaaa mtu na mpenz wake mara simu inapigwa kweny cm ya mwanamke na mwanaume anachukua cm ya mwanamke na kuipokea, hallow ww nan??? Upand wa pili unanijib naomba kuongea na mweny cm,jamaaaa akajib mm ndo mwnyw cm niambie ww ni nan??? Jamaaaa upande wa pili kuona mwanaume anamjib kiukal akaamua kujib, sorry nime wrong number!!! Acha jamaaaaa aanze kumtukana mshikaj, abiria tukashikwa na mshangao kusikia matus ya nguon yanazid!!! Baada ya matus jamaa anamgeukia mwanamke na kumuulza, unamfaham huyu mtu?????mwanmke anajibu, hapana cmfaham kabisaaaaaaaa!!!! Bdo ugomvi unaendelea hapa wa chinchin!!!!! Tafadhal usijipe pressure kwa kupokea cm ya mkeo au mumeo

Kuna wanaume hawafai kabisa kuitwa Wanaume ......!!!!!!!!!
 
Kwanza si heshima kupokea simu ya mtu mwingine,bila ya ridhaa yake, iwe mke,mume,dada,shangazi,kaka nk
 
Basi nganj ilo na linaenda wapi kutokea wapi,ili watu wa haki za wanawake wamsaidie bi mdada.
 
mambo mengine kujipa presha tu. kwan yeye hajawah pokea cm ambayo ni wron number?

jamaaaa anahis kuwa huyu jamaaaa anafahamiana na mwanamke coz alinga'ng'ania sana kuongea na mwnyw cm na ndo maana baada ya kuona jamaaaa hampi mweny cm akaamua kujib wrong number, ndo hapo mitus ya nguon ilipoanza!!!!!
 
Ni ushamba kupokea simu ya mpenzi wako au hata kusoma msg inapoingia sababu inaweza kuleta ugomvi usiokuwa na maana ona sasa jamaa anavyojiabisha mwenyewe tena kwenye gari duh!
 
Si uungwana hata kidogo kutukanana, hasa uongeapo kupitia simu ya mwenza. Binafsi huwa sithubutu kutumia simu ya mamsap wangu, inaepusha uhuru wa privacy.
 
hapana alikuwa hajaweka loudspeaker but jamaaaaa alikuwa anaongea kwa sauti saaaaana mpka gar zima tukawa tunasikia


Gari zima? wewe ukubwa wote wa basi watu wote wasikie? kwa walio karibu yake nitakulewa, sio basi lote/zima
 
haituhusu hivyo ni vitu baina ya watu wawili
ACHA UCHAKUBIMBI
 
matusi ni hulka ya mtu. kuna wengine hata wasome vipi lakini matusi bado yako midomoni mwao, tena kwenye lips za

midomo. ukimkosea kidogo tu, unatukanwa kama nini sijui. mmojawapo yupo humu kabisaaaa!!!! japo si kwa simu, lakini

alishanitenda sana kwa njia ya PM, sijawahi wasiliana nae, lakini nikashangaa kupokea PM yake ya kwanza kabisa tena ya

matusi ya nguoni. mimi kumjibu kutaka kujua chanzo, yeye bado akajiweka matawi na kujiita motto wa mjini na elimu

yake ya masters!!! JAMANI MPKAWANWAKE NAO??? MMMH!!. badilikeni bana, mtu kakosea halafu sincerely anakumba radhi unajifanya huelewi. huo ni uswahili!
 
Kama ambavyo huyo mwanaume haimuhusu kupokea simu zipigwazo kwa kilongalonga cha mpenziwe, ndivyo ambavyo nawe mleta mada haikuhusu kuleta umbea wa habari za watu ulizoshuhudia huko ulipokuwa.
 
Thou shalt not touch anothers phone. Even by accident!!
 
Back
Top Bottom