Duh! Hizi simu jamani

Duh! Hizi simu jamani

ukute ni kweli wrong number. sema ni kutoaminiana tu.
ha haaa, kuna siku kuna mdada alining'ang'ania tangu alfajiri mpaka usiku kuwa nipo na mumewe na napokea simu ya mumewe, hataki kabisa kuamini kuwa ni wrong number. Kilichoniokoa ni usiku baada ya mume kurudi home katukanwa na mkewe na ndipo akamwuliza kwani anapiga namba gani? kuangalia, kumbe kakosea namba moja.........
Mume ikabidi anicall kuniomba msamaha, mke kachuna mpaka leo........ kuna watu ni majanga
 
Back
Top Bottom