Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
Kuna wanaume hawafai kabisa kuitwa Wanaume ......!!!!!!!!!
Nakuunga mkono mkuu! Lakini ipo kote kote!
Simu haziko kwa ajili ya wapenzi wetu tu! Ingekuwa hivyo basi ingekuwa balaa
Kuna wanaume hawafai kabisa kuitwa Wanaume ......!!!!!!!!!
swal zuri
Thou shalt not touch anothers phone. Even by accident!!
Umbea tu
Kama ambavyo huyo mwanaume
haimuhusu kupokea simu zipigwazo kwa kilongalonga cha mpenziwe, ndivyo
ambavyo nawe mleta mada haikuhusu kuleta umbea wa habari za watu
ulizoshuhudia huko ulipokuwa.
Ni ushamba kupokea simu ya mpenzi wako au hata kusoma msg inapoingia sababu inaweza kuleta ugomvi usiokuwa na maana ona sasa jamaa anavyojiabisha mwenyewe tena kwenye gari duh!
Ukiwa mwadilifu wala huwezi kuwa na wasi wasi mwenzio akishika simu yako!
ha!ha!haa!ah!ndugu we unanchekeshaga kwel mashushu yako eh!
huko ni kutokuaminiana na mwanaume kutojiamini, kama unaweza kupokea simu ya mwenzako basi be strong enough to hear anything on his/her behalf!
last week nilipanda daladala moja nyuma kabisa nikakaa na mtu na mpenzi wake wakawa wanaongea sana ila katika utambuzi wangu nikaelewa tu yule ni mwanaume zoba maana yule mwanamke alikuwa anaongea kwa sauti bila hata staha! Katika maongezi yao wakatoofautiana yule jamaa akamwambia ukijaribu kufanya hilo jambo utanitambua ,yule bint akamwambia ukijaribu kunipiga ntakulamba mabao watu wooote daladala kumbe walikuwa wanakula chabo khe mambo ikamgeukia akamllamba kweli yule mwanamme mie wacha nicheke watu wakabaki wanashangaa na kusema hamna mwanaume hapo jamaa kwa aibu akajishukia na alikuwa anakwenda kongowe kwiwkiwkiwkwwiwkwikuna wanaume hawafai kabisa kuitwa wanaume ......!!!!!!!!!