Duh! Hii Kali !

Wamemkosea huyo Dada na Hawakumtendea Haki hata kidogo

Ninalaani vikali kitendo hicho, kwani wao si mahakimu wa kutoa hiyo hukumu ya kiudhalilishaji
 
ngoja na wake zao watavuliwa hivyo hivyo kama walifikiri ni ujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…