Duh! Hii kali. Jamani wadada tuoneeni huruma.

Anaonyesha respect kwa mrembo wake alafu akiingia kwenye mtego wake anambadilikia kama sio yule aliekuwa anampigia magoti, kuna ambao hulia machozi na kujaza kikombe lakini ni usanii tu mwisho wa siku kuna kitu ambacho anakifikiria kichwani. na mwingine anafanya hivyo kwa kuwa either hajapata substitute yenye kiwango kinachoendana hivyo anarudi kubembeleza kwa mtindo mpya kama zile style za ombaomba Matonya
 
huyo kweli anajua kuomba mazee na naona binti ameanza kusugua mguu wa kulia chini jibu halipo mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…