Unajua hapa nilipo moyo umeishaanza kunidunda?Yani nitafurahijeeeeee
Sijui. Ila washamba wa ndege ni wanyakyusa teh teh teh.
unajua hata wakisindikizana stendi wanaanza kuagana hadi basi linafika mbezi? Umponileee na babu, umponile nyau, uyaponile mahindiiiii na mchele! Mwenzio mtoa mada kilichomsikitisha kwa kupanda ndege ni kukosa kupewa salamu huku ndege inapaa kwi kwi kwi!!!
hahahah hahaha leo nimecheka jamani.
hivi we dada unaishi wapi?
napenda sana comments zako na yule. miss chagga wa kishimundu moshi
teh teh pouwa Honey Faith ila mazoea yana tabu
hivi nayo wanaongea kiswahili au kiingereza ????
Samahani mkuu ndiyo mala yako ya kwanza kupanda Ndege?
Mnyakyusa kapanda ndege, mweeh!
naloli naloliiii, Yesu ajobile!
Santilia-Wamalila, wandali IlejeHuko Santilia alikotoka ni Wandali kama sijakosea. Unaweza ingilia pale Mbalizi kulia au njia ya kuingia gereza la Songwe kisha unaenda ndani milimani!
Msigwa IringaHahaha kumbe eeh? Na kwao Highlander na Jerrymsigwa ni wapi? Mi najua mbeya ni mbeya tu. Wakarimu afu ukienda tukuyu wana majogoo makubwa kama mbuzi wa daslam!
kwa sababu natokea 'intilia' kidogo (santilia) ilinichukua kama siku mbili kupata booking safari ya ndege. nikitokea uwanja wa songwe mbalizi mbeya safari yangu ya angani ilinichukua takriban dk 45 tu ukiachia rabsha za hapa na pale japo ni gharama lakin uwazi kuchimba dawa wala kula njiani labda uhuru tu wa kuwapungia mikono wasindikizaji na kutembea ovyo ndani hakika nineinjoi baada kufika NIA dar nilijiona mwepesi na tafakuri nyingi kichwani kwamba ni kweli nimefika au naota, nimezoea tren ya tazara zaidi siku 2 kusafiri njian its so amazing lol ilinichukua karibu masaa 8 kuwafakia wenyeji wangu nao walishangaa wala hawakuamin kama nimekuja na ndege kumbe niliminya sehemu nagonga viloba ili akili ikae sawia nimeamini tafuta ela uitmie na maisha mazuri yakuzoee
Mala ndio nn?
Huko Santilia alikotoka ni Wandali kama sijakosea. Unaweza ingilia pale Mbalizi kulia au njia ya kuingia gereza la Songwe kisha unaenda ndani milimani!