asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
babu kimsingi nimekuelewa ila nilichotaka kuonesha hapo kwenye mfano wangu ni kuwa km unaweza kuwa na nyumba ndogo hlf inatambua upo kwenye nyumba kubwa na ikaheshimu physically ,emotionally na financially ......na pia km hayo makabila mtu akakupa mke wake ulale naye hata km ni kwa 1 night stand na akakubali physically ,emotinally na financilly ni kwanini usiamini kuna watu wanaweza kupractise hiyo NSA?Ndoa za mitala zina attachments na zinatambuliwa hata mbele ya sheria. Na hizo nyumba ndogo zinakuwa na makubaliano + commitments nyingi tu. Na katika mahusiano ya aina hiyo, wivu upo tena wa hali ya juu.
Mila za kuazimana wake na majirani au marafiki kwa siku moja (kwa Wamasai, Wanyankole wa Uganda, kabila la Mseveni), hapo nakubali kwamba mahusiano kama hayo ni dizaini ya NSA. Ila huwa wanarudia rudia?
Babu DC!!!
we Kongosho kukumbushia ya zamani yenyewe ni NSA,,,otherwise you fail to understand kwakweli.Wakirudia mara nyingi, jua kuna kitu kati yao
Na ushapigwa changa la macho hapo.
you know wapi!:lock1:Ha ha ha ha, lol
Kwani nimesema wapi kukumbushia?:A S 13::A S 13::A S 13:
Common sana kwenye "friends with benefits"
Just having fun! Hakuna mapenzi just screwing each other n' u'r off like nothing happened..lol..
Common sana kwenye "friends with benefits"
Uhusiano with no strings attached bila commitment utafanikiwa kweli? Kwa mfano sex with no strings attached, the sex itself si ndio commitment? Lazima kuwe na commitment toka kwa pande zote mbili ili kuwa na uhusiano wa aina hiyo. No commitment, no such a relationship or sex.Hii mbona kuna commitment? Huo urafiki sio commitment?
Uhusiano with no strings attached bila commitment utafanikiwa kweli? Kwa mfano sex with no strings attached, the sex itself si ndio commitment? Lazima kuwe na commitment toka kwa pande zote mbili ili kuwa na uhusiano wa aina hiyo. No commitment, no such a relationship or sex.
Just having fun! Hakuna mapenzi just screwing each other n' u'r off like nothing happened..lol..
:A S-cry:You are such a bad bwoy!
:hand::hand:
Sasa hivi nina album.
hivi can you do that bila mapenzi?
Mara ya kwanza sawa, mkirudia 2, 3 bado inawezekana?
Hii mbona kuna commitment? Huo urafiki sio commitment?
FWB raha sana! No heart breaks.. Mmmh.
Mmmh inawezekana labda mmoja aanze kuchukulia serious..thats when it all goes wrong!