jamani Ruttashobolwa simuelewi
kumisiana na wadada mpaka na simu kupigiana
yangu macho,ngoja niende kwa Tonykp
mm nipoteze mawazo!
Usihofu lov hilo ni neno la kawaida tuu! Me lov you sana!
My Passion Lady
mmmhhhh!ya kweli hayo
ngoja nipumue coz nilikua nimefura kwa hasira!
Nimekumiss pia my dear
manoah alinificha sana ila toka amehamisha majeshi aah am available.....see you soon my dear...
Afu wewe Rich woman....mwaa! mwaaa!
Nimekumiss pia my dear
manoah alinificha sana ila toka amehamisha majeshi aah am available.....see you soon my dear...
jamani Ruttashobolwa simuelewi
kumisiana na wadada mpaka na simu kupigiana
yangu macho,ngoja niende kwa Tonykp
mm nipoteze mawazo!
Bibie nipo hapa nimejaa tele, tumieanza weekend na: Mzee wa Rula Filipo LiverpoolFC Passion Lady na mgeni wetu Dena Amsi. TUmecheka sana!!
Halafu wewe kunirusha live ndo nini sasa?? Hujambo lakini mzima wewe?? Mzee wa Rula simpati kwenye simu wala Filipo sijui nini kimewapata.
BTW: Nilifurahi sana wajameni Arusha raha acha kabisa
Pole kwake
Dah nilipoona title nikaconcludeWatu wanao comment bila kusoma thread utawajua tu!
relax my dada nammiss kiroho safi ujue halafu kuna mtu anamzengea mmeo njoo nikunong'onoze
whaat???kabadilika???@Ruttashobolwa unajiteteaje??
atakuja baadae utamsikia
amekua busy kupita maelezo!