Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
ha,ha,ha, Nicas Mtei acha machepele,umekua ujue
mimi nlishawahi kupata ban ya dakika kumi na tano juzi kat hapa... ilikuwa noma aisee
hhahahahaha.... safari gani hiyo kutwa nzma aisee? au treni ilipata pancha?
Ngoja ulimwengu umfunze kidogo
Ngoja ulimwengu umfunze kidogo
mmmm!mkuu ndio tunaondoka same
Nimeshajua. . . . . Unakuja na gari la magazeti...
Aisee!!! Let me borrow a leaf from you...Maana mi huko siasani huwa ndo kunanipaga ban..Mkuu tedo ukitafuta thread au posts zangu nyingi ni kule stress zone (siasani). Napishana walopigwa ban sana, wengine tuna-post thread moja!!
Ruhazwe JR niPM uliko ili niwaPM kina PakaJimmy Mzee wa Rula Filipo ericB52 Mungi LiverpoolFC sweetlady Preta Passion Lady Tonykp Lily Flower Blaki Womani ili nao wawape CC Mamzalendo Madame B Dark City KOKUTONA Mwanyasi Arabela.
hhahahahaha.... safari gani hiyo kutwa nzma aisee? au treni ilipata pancha?
na mimi je?