Duh! Afande Chacha✔

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
7,141
14,687
Nimefika hapa Kituo cha Polisi na kujikuta nikifarijika sana na kushtuka baada ya kumkuta Afande Chacha hapa Kaunta akiwa anasoma Biblia, nikajisikia fahari sana kuona anasoma Neno katika kituo cha Polisi.

Nikamuuliza “Afande ni nani alimuua Goliathi?” Akasema “Muulize Afande Mwita mlango namba 2 ndio anahusika na Kesi za Mauaji.”
emoji125.png
emoji125.png
emoji125.png
...
 
Back
Top Bottom