Duh! Afadhali kipigo cha yangu kuliko ligi ya z'bar!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Yaani mwamuzi wa mechi ya leo ligi kuu z'bar uwanja wa mao tsetung kati ya zimamoto na kikwajuni kakimbia kama kibaka baada ya kipondo kikali! Source. Itv.
 
Back
Top Bottom