Dugange: Wananchi endeleeni kuiamini CCM

Dugange: Wananchi endeleeni kuiamini CCM

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Wanging’ombe, mkoani Njombe, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Festo Dugange, amezindua rasmi kampeni za chama hicho na kuwataka wananchi kushiriki kwa wingi kupiga kura.

Akizungumza katika uzinduzi huo, Dk. Dugange aliwahimiza wananchi kuendelea kuiamini CCM pamoja na mgombea urais, Samia Suluhu Hassan, akibainisha kuwa chama hicho kimekuwa mstari wa mbele kuwaletea maendeleo watanzania.

Soma pia: Dkt. Festo Dugange: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utazingatia 4R's za Rais Samia

Screenshot 2025-09-01 024625.png
 
Wananchi waende wakaidhinshe kutotendeka haki?
Hao wananchi wamesahau makandokando ya huyu mwakilishi wa Samia,kuhusu sakata la mwanachuo?
Kimaadili hii ikoje?
Ilipaswa ajiuzulu kipindi kilekile akiwa hospitalini kule Benjamin Mkapa,pale Dodoma, lakini IKAZIMWA.
 
Back
Top Bottom