JAMHURI JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 449 Reaction score 60 Aug 21, 2018 #1 Emboley Mortangos ni Hifadhi iliyopo Kiteto ambayo kwa mujibu waMahakama, shughuli za kijamii hazitakiwi humo. Hifadhi hii ilianzishwa na vijiji 7 kwa lengo LA kulinda na kutunza mazingira kufuatia uharibifu uliojitokeza. Pamoja na agizo hilo la kisheria taarifa toka Serikalini zinaeleza kuwa jamii ya kifugaji maasai wamefanya eneo hilo kuwa makazi yao. Kufuatia hilo Mkuu wa Wilaya amewataka kuondoka Mara moja katika hifadhi hiyo kabla hatua za kisheria hazichachukuliwa. "Tutawakamata wale wote walio amua kuishi kwenye hifadhi ya Emboley Murtangos, hatuwezi kuendelea kuona wakivunja sheria" alisema DC Magesa. Sent using Jamii Forums mobile app
Emboley Mortangos ni Hifadhi iliyopo Kiteto ambayo kwa mujibu waMahakama, shughuli za kijamii hazitakiwi humo. Hifadhi hii ilianzishwa na vijiji 7 kwa lengo LA kulinda na kutunza mazingira kufuatia uharibifu uliojitokeza. Pamoja na agizo hilo la kisheria taarifa toka Serikalini zinaeleza kuwa jamii ya kifugaji maasai wamefanya eneo hilo kuwa makazi yao. Kufuatia hilo Mkuu wa Wilaya amewataka kuondoka Mara moja katika hifadhi hiyo kabla hatua za kisheria hazichachukuliwa. "Tutawakamata wale wote walio amua kuishi kwenye hifadhi ya Emboley Murtangos, hatuwezi kuendelea kuona wakivunja sheria" alisema DC Magesa. Sent using Jamii Forums mobile app