Dubai Miaka 20 Iliyopita

Umeharibu kwa kuleta uchama wako.
Kwa point zako tumeshakugundua wewe ni ccm.
Lakini analogic.Nchi zilizoendelea walianza maendeleo ndo vikaja vyama.Huku Africa tunaanza vyama ndo tunakuja maendeleo.
 
unataka kusema hata chattle miaka 20 ijayo itakuwa hivyo?
 
punguza mbwembwe basi hapo izo tren zisizo na dreva hata Singapore zipo na mada yake ilisha jadiliwa umu!!

Mahaba yakizidi Muone daktari
 

Kumbuka ni dola saba za wafalme ziliungana. Abu Dhabi ndio makao makuu kwa sababu wana mafuta mengi. Dubai ndio kituo chao cha biashara. Waarabu hawa nimewavulia kofia. Wana mfumo wa serikali wa mchanganyiko wa demokrasia za ulaya na ufalme. Hawana ushabiki wa dini wa kipumbavu. Na hawana vyama vya kisiasa vya kipumbavu. Sidhani kama wana chama hata kimoja.

Funzo kwetu ni hivi vyama vya siasa visiishie muungano kwenye ukawa. Viungane vyote kwa mpigo pamoja na CCM. Wote wawe kitu kimoja kuleta maendeleo. Ni upuzi mtupu kuwa na mgombea wa urais wa upinzani alietoka CCM. Atabadilisha nini?
 
punguza mbwembwe basi hapo izo tren zisizo na dreva hata Singapore zipo na mada yake ilisha jadiliwa umu!!

Mahaba yakizidi Muone daktari

Subiri upande treni la New York ndio utajua Dubai wako mbali.
 
punguza mbwembwe basi hapo izo tren zisizo na dreva hata Singapore zipo na mada yake ilisha jadiliwa umu!!

Mahaba yakizidi Muone daktari
lakini kataja london, paris na newyork au umevua miwani.... hahahaha
 
Ss miaka 56 ya uhuru lkn bado kuna shule watoto wanakaa chini,bado kuna vijiji maji wanayasikia tuu,umeme ndio usiseme wanasikiaga tu kuna kitu kinaitwa umeme,huko kuja kufika na huu uongozi labda kizazi cha nne
 




Watu hawana migodi ya dhahabu lakini wana eneo la ukubwa wa kijiji dhahabu tupu. Nilifika hapo ikabidi kwanza nitoke nje niangalie gari la polisi liko wapi sikuona polisi yeyote. Ni nchi isiyo na watu wenye njaa tu ndio inaweza kuwa na soko la dhahabu la aina ile.
 
wanabahati kweli mafisiem hawajakatiza huko,yangebaki mashimo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…