Dual core Vs pentium(r)

Nahakika we sio mtu wa ICT kwa hiyo sitatumia teminology za kisayansi ila kwa lugha nyepesi sana inamaana kuwa kwanza zote ni procesor zinazo tumiwa katika vitu vingi tu vyenye jamii ya komputa au smart phone n.k.

Dual Core ni ya kisasa zaidi kuliko Pentium na hiyo inamaanisha kuwa Dual itakuwa na ufanisi mkubwa zaid na hata speed yake ni nzuri.
Ni sawa na kusema gari aina za Land rover kati ya 109 (pentium) na 110 (dual core).
 
dual nyingi ni processor mbili (ndio maana zina speed japo ni ya wastani) kuhusu pentium, aina ya mashine hizi, ndio zinaagwa agwa, dual maana yake ni mbili(double) tunaelekea kutumia mashine zenye processor kubwa au mbili au zaid ya mbili...ktk swali lako hakuna kitu cha kuongezea, cha kiufundi au litaalam.
 
CLOSED

Tofauti kati ya mashine(computer) ambayo ni "Dual core and pentium(r)" zinatofauti gani

dual core kwenye processor ina maana zipo processor mbili.

na pentium ni jina la processor kama watu tulivyo na majina asha juma john mwanakombo basi na processor pia zina majina pentium, core 2 duo, i3, xeon, core m
 
Kwa kufupi dual core inamaanisha double processor
 
Kwa mimi mtu wa kawaida.

Dual core maana yake ni cores mbili ..... cores numbers ni sawa na farasi kwenye mkokoteni, farasi wawili wana nguvu zaidi ya mmoja (ukiweka mbali other factors kama ukubwa wa farasi etc)

Pentium, ni brand ya processors kama ilivyo Galaxy kwa Samsung.

Intel ni kampuni inayotengeneza processors za Pentium, kama vile Samsung inavyotengeneza smart phones kama Galaxy.
aina nyingine za processors kutoka Intel ni kama vile Celeron, yaani ni sawa na Samsung kutengeneza Rugby, Avant etc...

Kampuni nyingine inayotengeneza processors ni kama AMD, inayotengeneza Athalon. Kama vile Apple inavyotengeneza smartphones (Iphones).

Pentium-Dual core ni series kama ilivyo Samsung- galaxy SII.
AMD wanazo Athalon X2 kuonyesha kuwa ni dual core. Sawa kuwa na gari yenye Turbo Engine lakini make, au model tofauti.
 
Ungekuwa mwalimu mwanafunzi wako ataayefeli stahili yake anyongwe! chukua tano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…