LEVEL
Senior Member
- Jul 4, 2013
- 195
- 51
kuna rafiki yangu alishapelekwa kijijini na dada moja kwenda kutambulishwa kuwa ndo baba watoto mtarajiwa lakini haikuchukua miezi miwili jamaa kapata taarifa kua yule binti kafunga ndoa jana bila ya kumpa jamaa taarifa yeyote na inshu ndo proved kua dada keshafunga ndoa kweli jamaa alipo now namwonea huruma coz alimpenda sana yule dada lakini ndo kafanyiwa kitu kama hiko hapa alipo jamaa yupo chuo hana amani nisha mshauri avumilie but stress kibao wandugu hebu ushauri jamani nimsaidie huyu kijana