Du: Hvi ni kweli jamani?

kiparah

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,173
114
Hivi ni kweli kwamba biashara ya UMALAYA ndiyo biashara kongwe zaidi duniani kuliko nyingine yoyote?
 
Kumbuka Sodoma na Gomora kwa wanaoamini au wanaosoma biblia ndiyo ujue vizuri kuwa ni biashara tena iliyolaaniwa
 
Exactly..tena yaweza kuwa ni corruption kongwe pia! Hili tunda we acha tu
 
hapana jamani sio kila lisemwalo lina mantiki, hata mimi nimesikia mara nyingi sana watu wakisema hivyo. ila kwa ufahamu wangu, chakula kiliuzwa miaka mingi sana kabla ukahaba haujaanza
 
hapana jamani sio kila lisemwalo lina mantiki, hata mimi nimesikia mara nyingi sana watu wakisema hivyo. ila kwa ufahamu wangu, chakula kiliuzwa miaka mingi sana kabla ukahaba haujaanza

UMALAYA ni biashara kongwe zaidi duniani - umalaya ni neno jipya - neno kongwe ni UKAHABA!
 
mimi nilidhani ni biashara ya chakula ndio kongwe zaidi na iliendeshwa kwa barter system
 
Yaani Mungu akiwafutia dhambi ya ngono wanadamu, mbona wengi tu wataingia Mbinguni. Mimi naamini hii dhambi ya ngono ndio itayowapeleka wengi jehanamu kuliko dhambi zingine.
 
mimi nilidhani ni biashara ya chakula ndio kongwe zaidi na iliendeshwa kwa barter system

kawaida barter trade inahusisha bidhaa mbili tofauti usikute walikua wanabadilishana chakula kwa makahaba.
 
Mt 21:31 watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia ktk ufalme wa Mungu. We will find them in the 'front seats'.The Lord is merciful and gracious.
 
Sijui kama 'Oldest Profession' tafsiri yake ni ' biashara kongwe'. Au hivyo vitu ni sawa?
 
Back
Top Bottom