DTV live,

Master jay

Senior Member
Joined
May 28, 2012
Posts
194
Reaction score
32
nyie DTV, achen kuhongopea watazamaji, mnasema mechi itaonyeshwa 'live' huku mkijua c kweli. Mnafanya promo wiki nzima kuwa itaonyeshwa live, kumbe live yenu ni baada ya mechi kuwa mapumziko, alaf nyie ndo mnaanza. Achen uhuni, mnakera sana alah!!
 
Hivi kumbe DTV bado ipo hewani?
 
nyie dtv, achen kuhongopea watazamaji, mnasema mechi itaonyeshwa 'live' huku mkijua c kweli. Mnafanya promo wiki nzima kuwa itaonyeshwa live, kumbe live yenu ni baada ya mechi kuwa mapumziko, alaf nyie ndo mnaanza. Achen uhuni, mnakera sana alah!!
hizo filimee mbona za kawida tu hapa tanzania unakumbuka enzi za tyson itv wli wahi kutufanyia hayohayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…